Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AY akutana na Youtube kuzungumza biashara

Baada ya kurejea kutoka Marekani alikoenda kushoot video mbili, Mzee wa Commercial, AY amesema akiwa huko alikutana na wawakilishi wa Youtube waliompa darasa la kuingiza fedha kwenye mtandao huo. AY amedai kuwa ameshauriwa kujiweka vizuri kwenye mitandao kwakuwa kuna pesa nyingi ambazo hazipaswi kuachwa. “Kikubwa kwanza nilifanya meeting na Youtube,” AY ameiambia Bongo5. “Kikubwa nilichokiangalia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya nae mazungumzo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada ofisini kwake,Mwenge jijini Dar es Salaam. Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada akifafanua jambo wakati wa Mazungumzo na...

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MABALOZI WA UFARANSA, UTURUKI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akimkabidhi zawadi ya picha Balozi wa Uturuki nchini aliyemaliza muda wake wa utumishi, Mhe. Balozi Ali Davutaglu .

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akipokea zawadi ya kitabu cha Mwl. Nyerere kutoka kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba ...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na kuzungumza na Balozi wa Marekani,ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania ...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TAMWA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi Jumuiya ya Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar (TAMWA Zanzibar), walipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya mazungumzo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mratibu wa TAMWA Zanzibar bi Mzuri Issa nyumbani kwake Mbweni.
Mratibu wa TAMWA Zanzibar bi Mzuri Issa akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI JAPAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na watanzania waishio nchini Japan, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo yaliyofanyika kwenye Hoteli ya The New Otani, wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi nchini humo, jana Mei 21, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Japan (Tanzanite Society) David Semiono, akisoma risala ya Jumuiya yao wakati wa hafla ya chakula cha...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA MGOLOLO (W) MUFINDI, IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya na Mufindi wlioongazana na baadhi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Mei7, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mufindi na baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, waliofika Ofosini kwake...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI NGAZI YA TAIFA NA KAMATI YA UTENDAJI CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT)


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao kwa lengo la kuwapongeza viongozi hao. Kulia ni Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya.Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) wakifuatilia kwa makini maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na kuzungumza na mabalozi wa Oman na Syria nchini Tanzania Ikulu Dar leo

01

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Syria nchini Tanzania, Abdulmonem Annan,  wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 3, 2014 kwa mazungumzo. (Picha na OMR).

02

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Syria nchini Tanzania, Abdulmonem Annan, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 3, 2014 kwa mazungumzo.

1

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, amkaribisha Waziri wake Makamba ofisini, akutana na kuzungumza na mabalozi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Januari Makamba, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 14, 2015 kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo. 4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani