Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AY, FA, Victoria Kimani, D’Banj, Yaya Toure na wengine waalikwa White House, Marekani

AY na Mwana FA wataungana wasanii wengine wakubwa barani Afrika wiki ijayo nchini Marekani, kwa mwaliko kutoka ikulu ya Marekani kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika utakaofanyika wiki ijayo. Wasanii hao ni sehemu ya wale walioshiriki kwenye mradi wa One Campaign. Wasanii wengine waliopo kwenye msafara huo ni pamoja na Femi Kuti, Owamumi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Yaya Toure, D'Banj waungana na Kikwete kwenye kilimo

KAMPENI inayohamasisha vita dhidi ya umaskini kwa kutumia kilimo iliyoasisiwa na Rais Jakaya Kikwete na Shirika la One la Marekani, imeungwa mkono na msanii D'Banj wa Nigeria pamoja na mchezaji wa Manchester City, Yaya Toure.

 

11 years ago

GPL

YAYA TOURE, D'BANJ WAUNGANA NA KIKWETE KWENYE KILIMO

Rais Jakaya Kikwete. KAMPENI inayohamasisha vita dhidi ya umaskini kwa kutumia kilimo iliyoasisiwa na Rais Jakaya Kikwete na Shirika la One la Marekani, imeungwa mkono na msanii D'Banj wa Nigeria pamoja na mchezaji wa Manchester City, Yaya Toure. Hiyo ni baada ya D’Banj kushirikiana na washirika wa Kilimo wa Afrika katika uzinduzi wa kampeni ya 'Shiriki Kilimo' (Do Agric) kwenye kongamano la Umoja wa Afrika. Kampeni hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity kumtema Yaya Toure na wengine

Kilabu ya Manchester City watamuuza Yaya Toure msimu huu katika mpango unaolenga kuwauza wachezaji wengine wa kilabu hiyo

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Je Marekani itaweza kukabiliana na virusi vilivyoingia White House?

Wafanyakazi wa Ikulu ya White House wameagizwa kuvaa barakoa wakati wanapoingia jengo la ofisi zake zinazofahamika kama -West Wing, baada ya wasaidizi wawili kupatwa na virusi vya corona.

 

10 years ago

BBC

Profile: Yaya Toure

Why Ivory Coast star should be African Footballer of the Year

 

9 years ago

Michuzi

MHE. BALOZI WILSON M. MASILINGI AKUTANA NA BI. CATHY BYRNE, MKURUGENZI MWANDAMIZI WA MASUALA YA AFRIKA, IKULU YA MAREKANI (WHITE HOUSE) TAREHE 30 NOVEMBA 2015

Mhe. Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, akifuatana na Bw. Paul Mwafongo alihudhuria mkutano na Bw. Louis Rene Peter Larose, Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Dunia, Kundi la Nchi za Afrika. Wengine waliohudhuria ni pamoja na Bw. Andrew Ndaamunhu Bvumbe, Mkurugenzi Mtendaji Mbadala Benki ya Dunia, Kanda ya Afrika, na Bw. WilsonToninga Banda, Mshauri, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji. Shabaha ya Mkutano ilikuwa ni kufuatilia mazungumzo yaliyofanyika Lima,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yaya Toure mwanasoka bora

Yaya Toure ndiye mchezaji bora wa mwaka .

 

11 years ago

BBCSwahili

Yaya Toure bingwa wa Afrika

Mchezaji wa Manchester City ambaye pia hucheza nafasi ya kiungo cha kati katika timu ya Ivory Coast, Yaya Toure ndiye mwanasoka bora zaidi wa mwaka barani Afrika

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani