AY: WASANII BONGO WANAWANUFAISHA SANA WASAUZ
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY' akipozi. Stori: Shani Ramadhani STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’ amefunguka kuwa maprodyuza wengi waliopo Afrika Kusini ‘Sauz’ wanapata faida kubwa sana kutoka nchi za Afrika hasa Tanzania kupitia muziki. Akichonga na Over The Weekend, AY alisema wasanii walio wengi kutoka Bongo wamekubaliana na gharama zao ndiyo maana...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSuma Mnazaleth: Wasanii Bongo tunanyonywa sana
10 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA
5 years ago
Bongo514 Feb
Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.
Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
Bongo Movies30 Jul
Monalisa :Wasanii Wanajiachia Sana
YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji wa kike katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kuwaambia baadhi ya wasanii katika fani ya uigizaji kushindwa kulinda miili yao na kujiachia kwa kunenepa na kupoteza muonekano wao jambo ambalo linapoteza nafasi zao katika sinema.
“Sisi wasanii wa filamu kwa Bongo hatuwezi kabisa kulinda muonekano wetu kimaumbo msanii akikubalika tu anajiachia mwili huo, vijana wadogo tu kuna wakati unashindwa umchezeshe kama binti au mama mtu mzima, lakini...
10 years ago
Bongo Movies26 Apr
“Nimetumwa Sana Pombe Bongo Movie”
Staa wa Bongo Movie, Brenda Malembeka ‘Kunguru’ ameibuka na kuanika ukweli wa maisha yake kuwa kabla ya kutoka kisanaa, aliteseka sana kwa kutumwa pombe na wasanii waliokuwa tayari na majina makubwa.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Kunguru alisema kwa kipindi hicho ilimlazimu akubali kutumwa pombe na mastaa kwani lengo lake lilikuwa ni kupatiwa nafasi ya kucheza uhusika ukuu. “Nilikubali sana kutumwa pombe na mastaa wakubwa ili lengo langu litimie, nashukuru Mungu kwa sasa nimepata shavu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq*4NYUDI-tYNP0QvGhbwAuIPgPLhWC2hccknK81TRgwdOz4xt1XryFtxsKwVVit99uvSnbmn0l2DrUklO-NTwCl/c.jpg?width=650)
KUNGURU: NIMETUMWA SANA POMBE BONGO MOVIE
9 years ago
Bongo526 Aug
Nikiwa mbunge msinitegemee sana kuongelea matatizo ya wasanii — Professor Jay