Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Monalisa :Wasanii Wanajiachia Sana

YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji wa kike katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kuwaambia baadhi ya wasanii katika fani ya uigizaji kushindwa kulinda miili yao na kujiachia kwa kunenepa na kupoteza muonekano wao jambo ambalo linapoteza nafasi zao katika sinema.

“Sisi wasanii wa filamu kwa Bongo hatuwezi kabisa kulinda muonekano wetu kimaumbo msanii akikubalika tu anajiachia mwili huo, vijana wadogo tu kuna wakati unashindwa umchezeshe kama binti au mama mtu mzima, lakini...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Soko Haliuliwi na Wasanii Wakongwe- Monalisa

YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kusema kuwa si kweli kama soko la filamu linauliwa na wasanii wakongwe au ambao wapo muda mrefu bali kuna changamoto nyingi.

kweli kama wasanii wakongwe kuwepo katika game ndio wanaua soko la filamu, toka nakua nimekuwa nikisikia wasanii kama Angelina Jolie ana filamu bado zinauza, kwangu wagombea wa Urais wana deni la kulipa,”anasema Monalisa.

Monalisa anaenda mbele zaidi kwa kusema kuwa...

 

11 years ago

GPL

WASANII CLOUD, RIYAMA, MONALISA NA WASTARA WALA SHAVU UK

Wasanii Riyama, Cloud, Monalisa na Wastara wamekula shavu kwenda Uingereza kucheza filamu ambapo Global TV Online ilikuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati wasanii hao wakikwea pipa kuelekea…

 

10 years ago

GPL

AY: WASANII BONGO WANAWANUFAISHA SANA WASAUZ

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY' akipozi. Stori: Shani Ramadhani
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’ amefunguka kuwa maprodyuza wengi waliopo Afrika Kusini ‘Sauz’ wanapata faida kubwa sana kutoka nchi za Afrika hasa Tanzania kupitia muziki.
Akichonga na Over The Weekend, AY alisema wasanii walio wengi kutoka Bongo wamekubaliana na gharama zao ndiyo maana...

 

11 years ago

GPL

Suma Mnazaleth: Wasanii Bongo tunanyonywa sana

MSANII anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Suma Mnazaleth. Na Said Ally    
MSANII anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Suma Mnazaleth, amesema umaskini mkubwa walionao wasanii wa Bongo unatokana na kampuni ambazo zinawadhamini, kwani nyingi zimekuwa zikiwanyonya. Suma Mnazaleth ambaye kwa sasa anatamba na Wimbo wa Mnazaleth na ule wa Mkatoliki aliomshirikisha  R.O.M.A, ‘alitia...

 

9 years ago

Bongo5

Tunaumia sana tunapoona wasanii wakifanya video zao South – Gentriez

10853047_1632844680301371_2030262379_n

Mtihani mkubwa walionao wasanii wachanga ni kufikia level za wasanii waliotangulia ambao kwa sasa wengi wao wamekuwa wakifanya video za gharama kubwa na waongozaji wa nje ya Tanzania.

10853047_1632844680301371_2030262379_n

Rapper wa Arusha, Gentriez amesema wasanii wengi wamekuwa wakiumia kuona wenzao wakitengeneza video kubwa zinazochezwa kwenye video vya runinga vya kimaitafa wakati wao hawana uwezo huo.

Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Gentriez alisema wasanii wengi hawana uwezo hata wa kumlipa Hanscana kufanya naye...

 

9 years ago

Bongo5

Nikiwa mbunge msinitegemee sana kuongelea matatizo ya wasanii — Professor Jay

Wasanii wasitegemee msaada wa maana pindi Professor Jay akiingia bungeni. Rapper huyo anayewania ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro amesema atatumia wadhifa huo kuwahudumia wananchi wa Mikumi. Professor amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa atakuwa mbunge wa watu wa Mikumi hivyo atatumia muda kuwatumikia watu wake. “Nimewaambia wasanii wangu na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani