Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam FC yatabiriwa kuitesa Yanga Jumapili

Mchambuzi wa soka, Kenny Mwaisabula na aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars, Mshindo Msola wameitabiria Azam kuondoka na pointi tatu dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumapili hii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA KUIVAA AZAM UWANJA WA TAIFA KESHO JUMAPILI

Kikosi cha Young Africans Sports Club. Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majia ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Young Africans ambayo imekua na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Simba yatabiriwa makubwa

WADAU wa soka mbali mbali kisiwani Unguja wameitabiria makubwa timu ya Simba kufanya vizuri msimu ujao baada ya kuanza vizuri mechi zake za majaribio kwa kuifunga Kombaini ya Wilaya ya Mjini.

 

11 years ago

Michuzi

WAPINZANI WA AZAM FC WATUA DAR KAMILI JIONI HII TAYARI KWA MECHI JUMAPILI

Na Bin Zubeiry Ferroviario wakiwa mbele ya basi la Azam FC liliwapokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Azam inacheza kwa mara ya pili mwaka huu michuano hiyo ya Shirikisho, baada ya mwaka jana kutolewa hatua ya 16 Bora na AS FAR Rabat ya Morocco, ikiwa chini ya kocha Muingereza, Stewart John Hall, aliyejiuzulu Novemba mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Mcameroon, Joseph Marius Omog.   Azam imekuwa kambini katika hosteli zake za kisasa zilizopo...

 

11 years ago

GPL

MKUTANO MKUU WA YANGA JUMAPILI

Mkutano Mkuu wa Wanachama wa mabadiliko ya baadhi ya Vipengele kwenye Katiba utafanyika siku ya jumapili Juni Mosi 2014 katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi - Oysterbay kuanzia majira ya saa 3 kamili asubuhi huku wanachama wote hai wa klabu ya Young Africans wakiombwa kujitokeza kwa wingi. Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu, Afisa Habari wa Young Africans Bw Baraka Kizuguto amesema mkutano huo wa siku ya jumapili ni...

 

10 years ago

Michuzi

KUZIONA SIMBA NA YANGA JUMAPILI HII NI BUKU 7 TU

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Simba SC na Young African utakaofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10 kamili za jioni.
Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro, akisaidiwa na Soud Lila (DSM) mshika  kibendera wa kwanza, Florentina Zabron (Dodoma) mshika kibendera wa pili, Mwamuzi wa akiba Israel Mjuni (DSM), na kamisaa wa mchezo ni Ame Santimeya (DSM).
Viingilio vya mchezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani