Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO MKUU WA YANGA JUMAPILI

Mkutano Mkuu wa Wanachama wa mabadiliko ya baadhi ya Vipengele kwenye Katiba utafanyika siku ya jumapili Juni Mosi 2014 katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi - Oysterbay kuanzia majira ya saa 3 kamili asubuhi huku wanachama wote hai wa klabu ya Young Africans wakiombwa kujitokeza kwa wingi. Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu, Afisa Habari wa Young Africans Bw Baraka Kizuguto amesema mkutano huo wa siku ya jumapili ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI HAPA.

MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI TANGA.



MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga fanyeni mkutano mkuu kesho bila vurugu

Huku timu ya Yanga ikiwa Antalya, Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili, mkutano mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga utafanyika kesho kwenye Ukumbi wa PTA, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA CUF KESHO JUMAPILI JIMBO LA KITOPE

The Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) kinawatangazia na kuwaalika wazanzibari wote kushiriki katika Mkutano wa hadhara wa aina yake, ulioandaliwa na Chama hicho siku ya Jumapili, tarehe12/04/2015.
Mkutano huo utafanyika katika Jimbo la Kitope, kiwanja cha Kitope Kipandoni kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na mbili jioni(8:00-12:00) na kuhutubiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
Tukumbuke kwamba Jumapili ya tarehe 12/04/2015 ni siku maalum, katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Azam FC yatabiriwa kuitesa Yanga Jumapili

Mchambuzi wa soka, Kenny Mwaisabula na aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars, Mshindo Msola wameitabiria Azam kuondoka na pointi tatu dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumapili hii.

 

10 years ago

Michuzi

KUZIONA SIMBA NA YANGA JUMAPILI HII NI BUKU 7 TU

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Simba SC na Young African utakaofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10 kamili za jioni.
Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro, akisaidiwa na Soud Lila (DSM) mshika  kibendera wa kwanza, Florentina Zabron (Dodoma) mshika kibendera wa pili, Mwamuzi wa akiba Israel Mjuni (DSM), na kamisaa wa mchezo ni Ame Santimeya (DSM).
Viingilio vya mchezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani