Azam yajipigia Malakia Kagame
Azam imejisafishia njia ya kucheza robo fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame mwaka 2015 baada ya jana kuichapa Malakia ya Sudan Kusini, mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 May
USHINDI: Simba yaibuka, yajipigia Azam
10 years ago
Habarileo03 Aug
Azam mabingwa Kagame
AZAM FC jana iliweka historia kwa kutwaa kwa mara ya kwanza taji la Kagame baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Azam bingwa Kagame Cup
TIMU ya soka Azam FC jana imeandika historia mpya kwenye soka la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame Cup kwa kuifunga Gor Mahia ya Kenya mabao 2-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mabao ya Azam yaliwekwa kimiani na washambuliaji John Bocco 'Adebayor' dakika ya 16 na Kipre Tchetche dakika ya 65.
Bao la Bocco lilipatikana baada ya Tchetche kuwakimbiza mabeki wa Gor Mahia ambao walishindwa...
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Azam FC yaanza vyema Kagame
TIMU ya soka Azam FC jana imeanza vyema michuano ya Kombe Kagame Cup, baada ya kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0, dhidi ya KCCA ya Uganda, Uwanja Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo wa kwanza kwa Azam FC, msimu huu uliwachukua dakika ya 12 ya kuandika bao la kwanza lililowekwa kimiani na nahodha wao John Bocco ‘Adebayor’ aliyepokea pasi ya Shomari Kapombe.
Azam, walitengeneza nafasi nyingi za katika kipindi cha kwanza, lakini ukosefu umakini kwa safu ya ushambuliaji ndio...
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Azam yapiga ‘mkono’ Kagame
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Azam wasiwaangushe CECAFA ‘Kagame Cup’
MOJA ya habari zilizopo katika kurasa za michezo za gazeti hili la leo, ni hatua ya Baraza la Vyama vya Soka kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), kuwaalika...
10 years ago
TheCitizen03 Aug
SOCCER : Azam are Kagame Cup champs
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Azam FC watinga robo fainali Kagame
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC, jana walifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), baada ya kuichapa...
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Kapombe, Leonel waiua Azam Kagame
![Kikosi cha Azam](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Kikosi-cha-Azam.jpg)
Kikosi cha Azam
NA ZAITUNI KIBWANA, RWANDA
TIMU ya Azam FC jana imeaga Michuano ya Kombe la Kagame, baada ya kutolewa kwa mikwaju ya penalti 4-3 na timu ya El- Merreikh ya Sudan, katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Nyamirambo, mjini hapa.
Mchezo huo ulifikia kuamuliwa kwa penalti baada ya timu hizo kwenda sare ya kutofungana ndani ya dakika tisini.
Wachezaji wa Azam waliopata penalti ni, Aggrey Morris, Didier Kavumbagu na Erasto Nyoni, huku Shomar Kapombe akipaisha...