Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya Neymar sasa ni Van Persie

Hofu kuwa Van Persie huenda asishiriki mechi ya Uholanzi dhidi ya Argentina

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Van Persie apata jeraha

Kilabu ya Manchester United inasubiri kujua ubaya wa jeraha la mshambuliaji wake Robin Van Persie

 

10 years ago

BBCSwahili

Van Persie kuelekea Fenerbahce

Klabu ya Uturuki Fenerbahce ina matumaini ya kuafikia mkataba ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United Robin Van Persie baada ya mazungumzo zaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Fenerbahce kumnyakua Van Persie?

Klabu ya soka Fenerbahce ya nchini Uturuki imeanza mazungumzo ya kumsainisha mchezaji wa Manchester Utd Robin van Persie.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,ni Wellbeck ama Van Persie?

Je,Welbeck atageuka na kuwa mwiba dhidi ya kilabu yake ya zamani?

 

10 years ago

BBCSwahili

Van Persie atua Uturuki

Mashabiki wa manchester United wengi walijua kuwa Van Persie anaondoka kuelekea Fenabashe lakini mtoto Louis Diamond hakufahamu

 

11 years ago

GPL

VAN PERSIE AINUSURU MAN UNITED

Robin van Persie akishangilia moja ya bao alilofunga usiku wa kuamkia leo walipokuwa wakicheza na Olympiakos katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. Robin van Persie alifunga mabao matatu na kuisaidia mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza Manchester United, kujikatia tiketi ya kushiriki robo fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya baada ya kuinyuka Olympiakos mabao 3-0 katika mechi ya mkondo wa pili iliyochezwa Old Trafford....

 

11 years ago

BBCSwahili

Van Persie ainusuru Man United

Van persie aliiongoza Man United kufuzu kwa robo fainali ya kombe la mabingwa Uropa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Van Persie kusaini mkataba mpya

Mshambulizi wa Manchester United Robin van Persie amesema kuwa yuko tayari kuongeza muda wa mkataba wake na Man United

 

11 years ago

Dewji Blog

Robin van Persie wonder goal: A picture of perfection

1baf68a0-f33a-11e3-81a8-43dd11feb063_3-450567568

Robin van Persie of the Netherlands scores the teams first goal with a diving header in the first half during the 2014 FIFA World Cup Brazil Group B match between Spain and Netherlands at Arena Fonte Nova on June 13, 2014 in Salvador, Brazil. (Jeff Gross/Getty Images).

201406131452535277495-p5

Netherlands’ Robin van Persie scores a goal during the group B World Cup soccer match between Spain and the Netherlands at the Arena Ponte Nova(AP Photo/Bernat Armangue)

2014-06-13T195748Z_1500320101_TB3EA6D1M34KR_RTRMADP_3_SOCCER-WORLD-M03-ESP-NED

Robin van Persie of the Netherlands heads to score...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani