Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni

Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni

Kwa uzito na mahala unapofanyika mkutano huu, naomba niwaletee kwa muhtasari kabisa baadhi ya kazi ambazo Ndugu Zitto Kabwe amezifanya katika kusukuma mbele guruduma la maendeleo katika nchi yetu.

MABADILIKO SEKTA YA MADINI

Zitto alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa mbunge mwaka 2005 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini ambalo halina mgodi hata mmoja wa madini ukiachana na wachimbaji wadogo wa udongo wa Pemba ambao una soko kubwa hapa Kariakoo jijini Dar es...

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Baadhi ya kazi za Zitto Kabwe Bungeni

Mhe Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Maendeleo

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kufuta kazi baadhi ya wanajeshi

Vyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti kuwa jeshi la marekani limethibitisha kupunguza wanajeshi wake

 

11 years ago

Mwananchi

Wapinzani bungeni wamkaanga Zitto

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni jana ilimlipua mbunge kutoka kambi yao, Zitto Kabwe ikimhusisha na ufisadi wa Sh119 milioni kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Tukutane ‘bungeni’ Novemba

Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaaga rasmi wabunge baada ya kuvuliwa uanachama wa Chadema na kuahidi kuwa “Mungu akipenda” atakuwa tena ndani ya chombo hicho cha kutunga sheria Novemba.

 

10 years ago

StarTV

Baadhi ya miswada ya sheria yakwama kufanyiwa kazi.

Na Joyce Mwakalinga

Dodoma.

 

Baadhi ya miswada ya sheria ya Serikali imekwama kufanyiwa kazi leo katika mkutano wa kumi na nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na sababu mbambali ikiwemo ya mahudhurio hafifu ya Wabunge.

Miswada hiyo ni pamoja na ule wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 ambao ulitakiwa kupigiwa kura pamoja na mswada wa sheria ya Takwimu wa mwaka 2013 uliokwama kutokana na kutokamilishwa kwa baadhi ya shughuli.

payday loan in arlington texas ...

 

11 years ago

Mwananchi

Baadhi ya makosa wafanyayo viongozi mahali pa kazi — 1

Ni ukweli usiopingika kuwa kufanya makosa ni sehemu ya ubinadamu na kukosea ni kujifunza. Pia, wahenga walinena kujikwaa si kuanguka. 

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto: Naziona dalili za mgawanyiko bungeni

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, (Chadema), Zitto Kabwe, amesema dalili za mwanzo za Bunge la Katiba zinaonyesha kuwepo kwa mgawanyiko wa makundi katika kuchagua viongozi wa bunge hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto apiga tambo kuelekea bungeni

>Safari ya mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe kurejea bungeni imeanza rasmi baada ya kiongozi huyo wa chama kipya cha ACT-Wazalendo kuchukua fomu za kuwania kuongoza jimbo la Kigoma Mjini.

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto aanza kuvuliwa nyadhifa za bungeni

Mambo yanazidi kumwendea kombo Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe baada ya kuvuliwa rasmi cheo cha Naibu Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani