BABA WA UZAO: PAMBANENI KUONDOA MAOVU MNAKOISHI, YAKITOKEA NINYI NDIYO MNAOPASWA KULAUMIWA SIYO VIONGOZI AU SERIKALI
Baba wa Uzao akihubiria mamia ya waumini wakati wa Ibada iliyofanyika katika Kanisa Halisi la Mungu Baba, Tegeta jijini Dar es Salaam, leo. Picha nyingine zaidi ya 50 za ibada hiyo, Tafadhali >> BOFYA HAPA
CCM Blog, Tegeta.
Makanisa na Waumini wametakiwa kufanya jitihada za kuhakikisha hakuna matendo mabaya kama ujambazi na ukahaba kwa kuwa maovu hayo yakitendeka katika mitaa yao wao ndiyo wanaopaswa kulaumiwa badala ya kuwatupia lawama viongozi.
Hayo yamesemwa na Kiongozi wa Kanisa Halisi la...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogBABA WA UZAO AHIMIZA WAUMINI KUZALISHA MALI, ASEMA KANISANI SIYO MAHALA PA WENYE SHIDA NA MATATIZO NA KUSUBIRI MIUJIZA
Kanisa Halisi la Mungu Baba limeonyesha kuwa miongoni mwa Taasisi za Kijamii ambazo zimeendelea kuunga mkono mwito wa Rais Dk. John Magufuli wa kuwataka Watanzania kuacha hofu dhidi ya Corona, badala yake wachape kazi za kujenga uchumi huku wakiendelea kuchukua thadhari tu dhidi ya ugonjwa huo.
Katika kuonyesha kuunga mkono mwito huo wa Rais, Kanisa hilo limekuwa likihamasisha waumini wake kufanyakazi za uzalishaji kila mmoja katika nafsi yake na kisha kuwakutanisha kwa...
5 years ago
CCM BlogBABA WA UZAO: RAIS DK. MAGUFULI HANA HISTORIA YA KUSHINDWA KATIKA UTENDAJI WAKE
Kanisa Halisi la Mungu Baba lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam, limesema, Rais Dk. John Magufuli, hana historia ya kushindwa katika utendaji wake kwa kuwa amebarikiwa na Mungu Baba, hivyo kila atakayemwinua na kumuombea mema kama lilivyofanya kanisa hilo atapata baraka tena za halali kabisa.
Hayo yamesemwa jana na Kiongozi wa Kanisa hilo anayejulikana kwa jina la Baba wa Uzao, wakati wa kuhitimisha ibada ya siku tisa ya kumuomba Mungu amfiche Rais Dk. Magufuli waovu...
10 years ago
Mwananchi17 Jan
‘Chuo kikuu ni fursa ya kuondoa ujinga, siyo kutafuta kazi’
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
MNEC Ikungi awataka viongozi wa dini kukemea maovu kwa vijana
Mjumbe wa halmashauri kuu (NEC) CCM taifa wilaya ya Ikungi, Jonathan Njau, akizungumza na viongozi wa makanisa ya Free Pentekoste, KKKT na Roman katoliki kijiji cha Kipumbuiko muda mfupi kabla ya kuwakabidhi msaada wa mifuko 60 kwa ajili ya ujenzi, uboreshaji wa majengo ya makanisa yao.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
VIONGOZI wa madhehebu ya dini jimbo la Singida mashariki mkoa wa Singida, wameombwa kuwaelimisha na kuwahimiza vijana kuishi maisha mema na ya uadilifu, ili kupunguza kasi ya...
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Lulu: Mapedeshee ndiyo wanawalipa wasanii wa kike siyo filamu
ELIZABERTH Michael‘ Lulu’ amefunguka kuwa wasanii wa kike wa filamu wana biashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya filamu ambayo inawalipa zaidi.
Lulu amepasua kuwa wasanii hao wanawategemea mapedejee kuendesha maisha yao huku wengi wakiamini kwamba mabinti hao wa Bongo Movie wanalipwa vizuri kutokana na filamu wanazoigiza.
“Ukweli hauko hivyo, hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwazi kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na wasanii wakubwa lakini hakuna anayeliona hili,”...
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Serikali ya CCM itaendelea kulinda maovu hadi lini?
11 years ago
GPLBABA: DIAMOND SIYO RIZIKI YANGU
10 years ago
MichuziVIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...
11 years ago
GPLH BABA: GAZETI NDIYO LILINIPA MKE