Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Babu wa miaka 97 asaka mtoto

 Mathias KisokotaBABU aliyefunga ndoa mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 94, Mathias Kisokota mkazi wa Kitongoji cha Isunta, Namanyere wilayani Nkasi ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 97, amehamia na mkewe katika Mji wa Mpulungu mwambao wa Ziwa Tanganyika nchi jirani ya Zambia miezi sita iliyopita kwa lengo la kufanya tambiko la kumwezesha mkewe mwenye umri wa miaka 83 kupata mtoto wa uzeeni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Babu ambaka mfululizo mtoto wa miaka 12

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Mohamed Mgende (59) mlinzi na mkazi wa Msamvu Ndege Wengi kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka 12, mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya Msingi Msamvu B.

 

11 years ago

GPL

BABU MIAKA 82 AUAWA....

Stori: Haruni Sanchawa, Pwani SIMANZI! Stori ya kifo cha mzee Halfan Mohammed Mtonga (82) mkazi wa Kijiji cha Pela, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani hapa kinachodaiwa kutokana na kuvunjwa shingo, inasikitisha. Marehemu mzee Halfan Mohammed Mtonga (82) mkazi wa Kijiji cha Pela, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani aki sindikizwa katika safari yake ya mwisho. Tukio hilo lilitokea Julai 3, mwaka huu nyumbani kwake baada...

 

11 years ago

GPL

BABU SEYA, PAPII MIAKA 10 GEREZANI

Stori: WAANDISHI WETU MASKINI! Wakati wakitimiza miaka 10 gerezani tangu walipohukumiwa Juni 25, 2004, mwanamuziki nguli wa dansi Bongo, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wametoa watu machozi kwa mara nyingine. Kwa pamoja wanamuziki nguli wa dansi Bongo, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitumbuiza. Wakitumbuiza...

 

11 years ago

GPL

BABU MIAKA 80 ADAIWA KUMBAKA MJUKUU WAKE


STORI: SHANI RAMADHANI
BABU mwenye umri wa  miaka (80), Benedict mkazi wa Tandika Kilimahewa, jijini Dar ametiwa mbaroni kwa madai ya kumbaka mjukuu wake wa kike (jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka (6). Mtoto aliyebakwa na babu. Tukio hilo la kuhuzunisha linadaiwa kutokea Machi 8, mwaka huu usiku wakati babu na mjukuu wake huyo wakiwa wamelala pamoja chumbani kwake. Akizungumza na mwandishi wetu, jirani wa babu...

 

10 years ago

Mwananchi

Babu (62) ambaka mjukuu wake wa miaka mitano

Katavi. Mzee wa miaka 62, Rashid Mbogo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma za kumbaka mjukuu wake mwenye umri wa miaka mitano.

 

5 years ago

BBCSwahili

Ezzeldin Bahader: Babu aliyefunga goli akiwa na miaka 75

Mchezaji mwenye miaka 75 ambaye anacheza soka la kulipwa anaweza kuingia katika kitabu cha rekodi ya dunia

 

11 years ago

Habarileo

Mzazi aliyeozesha ‘kitoto’ kwa babu miaka 54 mbaroni

MZAZI aliyeoza mtoto wake kwa mzee wa miaka 54, juzi alikamatwa na polisi na kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda, na kufunguliwa kesi ya kula njama kwa nia ya kutenda kosa la kuozesha mtoto mdogo kinyume cha sheria.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60

 Untitled

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).

Untitled 1

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.

2 (2)

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).

3

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...

 

11 years ago

Dewji Blog

INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4

DSC01716mtotot

Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.

MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .

Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani