Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABY MADAHA MAPENZI NI HOBI YANGU

Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha. Stori: Gladness Mallya
MWANADADA asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha ameibuka na kutoa kali ya mwaka kwamba anapenda mapenzi kuliko kitu kingine chochote duniani. Akichezesha taya na paparazi wetu, Baby Madaha alisema ‘hobi’ yake ni mapenzi japokuwa anapenda muziki lakini haifikii jinsi anavyoyapenda mapenzi kwani yanampumzisha akili yake na kumfurahisha moyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Baby Madaha: Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yangu ya filamu (Picha)

Muimbaji na muigizaji wa filamu, Baby Madaha amesema amewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yake mpya ya filamu. Baby Madaha akiwa katika moja ya maduka ya vifaa vya electronics jijini Dubai, UAE Baby ameiambia Bongo5 leo akiwa Dubai kwaajili ya manunuzi ya vifaa hivyo, kuwa amekuta bei ya vifaa vya uzalishaji wa filamu […]

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA

Baby Joseph Madah. Na Waandishi Wetu AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph Madaha amenaswa baada kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni. Kumekuwa na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo hujihusisha na biashara ya kujiuza ili kujipatia kipato na kufanya...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!

Stori:   Mwandishi Wetu
Jambo limezua jambo! Ile skandali ya kunaswa baada ya kuingia mkenge kwenye mtego wa kujiuza imemtokea puani staa wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ambaye amekiri kuumbuka.
Habari hiyo iliruka hewani kwenye gazeti dada la hili, Ijumaa wiki iliyopita toleo namba 862 la Januari 17 hadi 23 likiwa na kichwa cha habari ‘BABY MADAHA ANASA MTEGO WA KUJIUZA. SAFARINI
Ilielezwa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AUMBUKA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi. Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baby Madaha amsaka Mtitu

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Baby Madaha kwa wiki moja sasa amekuwa akimsaka Mkurugenzi wa kampuni ya 5 Effects, William Mtitu ili amkabidhi ‘muvi’ yake mpya inayokwenda kwa jina la...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA NUSU ABAKWE

Na GLADNESS MALLYA MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha akipozi. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika mji wa Naivasha uliopo Nairobi nchini humo ambapo mwanadada huyo alipopanda jukwaani akiwa amevaa sketi fupi iliyokuwa imeacha sehemu kubwa...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA ANASWA AKIJIPODOA

Baby Madaha akijipodoa tayari kurekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda. Meneja wa Baby Madaha, Joe Kariuki (kulia) akijadiliana jambo na muongozaji wa video hiyo. MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha jana alinaswa na kamera zetu akijipodoa bila kuogopa wala kujali…

 

9 years ago

GPL

BABY MADAHA AREJEA NA MBWEMBWE

Gladness Mallya BAADA ya kula bata kwa mwezi mmoja huko Dubai anakodaiwa kuwa pamoja na mfanyabiashara tajiri wa mafuta,msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amerejea kwa mbwembwe, akisema anajiandaa kufungua kampuni. Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha Akizungumza na gazeti hili, Baby Madaha alisema anatarajia kufanya uzinduzi wa kampuni hiyo ambayo pamoja na mambo mengine, itashughulika na filamu. “Hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani