Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BADO SIJAMUONA MSHINDI NDANI YA CCM!

Katibu Mkuu wa chama tawala (CCM), Abdulrahman Kinana. NCHI ipo katika vuguvugu la uchaguzi mkuu, ambao data za awali zinasema utafanyika Oktoba 25, mwaka huu. Ni takriban miezi sita na ushee kuanzia sasa. Kwetu sisi wapigakura, ni muda mrefu umebaki, lakini kwa wanasiasa na wakubwa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), muda ni kama hautoshi. Ingawa tunaambiwa kuwepo kwa mgogoro ndani ya vyama vya upinzani, hasa Umoja wa Katiba ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa pili “Mtoko wa Mbugani” akivinjari ndani ya hifadhi ya Serengeti

Pic 1

Mshindi wa pili wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Deogratias Peter Mbogole (kushoto) akiwa na rafiki yake Goodluck Shirima(kulia) ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku mbili ndani ya hifadhi hiyo…Hapa ni Tarangire river view waliposimama kujionea kundi kubwa la tembo wakivuka barabara. Deo aliibuka mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano linaloendelea la “Tutoke na Serengeti” linaloendeshwa na SBL kwa ushirikino na BPESA.

Pic 2

Mshindi wa mtoko wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani za mitumba bado Uganda

Nguo kuukuu au mitumba bado ni za bei nafuu hususan kwa walala hoi nchini Uganda na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Mwananchi

Bado hatujaelewa umuhimu wa michezo ya ndani

Ninakumbuka mwaka 2013 serikali ya China iliikabidhi rasmi serikali ya Tanzania Uwanja wa Taifa uliopo Dar es Salaam, ambao umejengwa kwa ubia kati ya serikali hizo mbili.

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KATIKA UTENGENEZAJI BORA WA SAMANI ZA NDANI MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA, JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi  Seif Idd akikabidhi zawadi ya Mshindi wa kwanza kwa Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga. Jeshi la Magereza limeibuka Mshindi wa kwanza kwa utengenezaji wa bidhaa bora za Samani za ndani katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja wa Mw. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza wanaoshiriki katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya...

 

11 years ago

Habarileo

Diwani wa Chadema ampigia debe CCM na kuibuka mshindi

KATIKA hali isiyo ya kawaida Diwani wa Chadema katika kata ya Masoko wilayani Mbeya, juzi aliwashangaza watu baada ya kujikuta akimpigia kampeni diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa kumpata Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa Mbugani” wa kampeni ya Tutoke na Serengeti akila bata ndani ya hifadhi ya Serengeti

PIC 1

Mshindi wa mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale (Kulia) akiwa na kaka yake Bw.Joshua Robert Moriale (Kushoto) walipowasili mamlaka  ya hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha tayari kwa kuanza safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani