Bagamoyo kumpata Miss Bomba leo
NA PATRICK MWILLONGO, BAGAMOYO
WILAYA ya Bagamoyo, mkoani Pwani, inatarajia kumpata mlimbwende katika shindano la IPAM Mrembo Bomba,
linalotarajiwa kufanyika leo usiku katika ukumbi wa Sky Light, wilayani hapa.
Muandaaji wa shindano hilo, Abdallah Mtangwelah wa kampuni ya Tangwe Man Entertainment, aliwataja warembo wanaowania taji hilo kuwa ni Kalisa Anderson, Katrina John, Fatuma Kassimu, Lulu John na Mariamu Peter.
Wengine ni Salama Jonson na Lulu William, ambao walikuwa wakinolewa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Mar
mchakato wa kumpata “Redds Miss Tanzania 2014 wazinduliwa rasmi
![](https://2.bp.blogspot.com/-EpQ-WxGcoxA/Uyrgt9W4a3I/AAAAAAACsWY/n_wmUbLuAso/s1600/1.jpg)
10 years ago
MichuziMashindano ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yazinduliwa mjini Bagamoyo leo
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Chadema kumpata mwenyekiti leo
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TocXudA9ML8/VNN7I4H4UxI/AAAAAAAHB-4/TddFeNSNL5w/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO,SHIRIKA LA MAGEREZA NA KAMPUNI YA TARBIM WAKUTANA LEO MJINI BAGAMOYO
![](http://1.bp.blogspot.com/-TocXudA9ML8/VNN7I4H4UxI/AAAAAAAHB-4/TddFeNSNL5w/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-taIu7fs6Dk0/VNN7JdUBFmI/AAAAAAAHB-8/Q77Xmw6cl2c/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mapacha Watatu kupamba Miss Bagamoyo
BENDI ya muziki wa dansi ya Mapacha Watatu, inatarajiwa kunogesha shindano la kumsaka mrembo wa Wilaya ya Bagamoyo ‘Miss Bagamoyo’ mkoani Pwani. Shindano hilo limepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Palm...
11 years ago
CloudsFM27 Jun
Fainali ya Bibi Bomba ni leo kuonekana Live Clouds TV, mshindi kunyakua kitita cha shs.Mill.13
Fainali ya Bibi Bomba ni leo inafanyika kwenye jumba maeneo ya Mikocheni kuonekana Live Clouds TV,mshindi kunyakua kitita cha shs.Mill.13.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4pTbbiG73Po/U5rZrPyG2OI/AAAAAAAFqWA/5xCxmgwwJHY/s72-c/IMG_9334.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Kongamano la kisayansi kuanza leo Bagamoyo
KATIBU Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando leo anafungua kongamano la 31 la kisayansi na mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Afya ya Jamii...
9 years ago
Habarileo16 Oct
Jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo leo
UJENZI wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani unaojengwa kwa kushirikiana kati ya Tanzania, China na Oman, unazinduliwa leo kwa kuwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete.