Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bahanuzi arudi Bongo kama alivyoondoka

Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi. Na Khadija Mngwai
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Said Bahanuzi amemaliza majaribio yake ya wiki moja aliyokwenda kufanya nchini Malaysia katika Klabu za Teregganu na T-Team ambapo amerejea nchini. Bahanuzi aliondoka nchini Alhamisi iliyopita kuelekea nchini humo kwenda kufanya majaribio ya wiki moja kwa ajili ya kucheza soka la kulipwa. Akizungumza na Championi Ijumaa, Msemaji wa Yanga, Baraka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Stara arudi kwenye muziki wa Bongo Fleva

MWIMBAJI wa injili nchini, Stara Thomas ‘Stara’, ameamua kurudi rasmi katika muziki wa Bongo Fleva ambapo hivi karibuni anatarajia kuachia wimbo wake aliomshirikisha Banana Zoro. Akizungumza na MTANZANIA jana, Stara alisema anaimani wimbo huo uliopewa jina la ‘Nishike mkono’, utamtambulisha upya.
“Nimeamua kurudi nilipotekea, najua mashabiki zangu wengi watakuwa wakikumbukua jinsi gani nilikuwa nafanya vizuri,” alisema Stara.
Alisema wimbo huo utaweza kuonyesha jinsi gani amezaliwa na...

 

10 years ago

GPL

KINARA WA TMT, MWANAAFA MWINZAGO ALIVYOONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50



Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV

Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014...

 

10 years ago

GPL

KAMA NAMSOMA NAY WA MITEGO KUHUSU BONGO MOVIES!

KUNA kelele nyingi katika mitandao ya kijamii na mitaani kuhusu maisha ya waigizaji na wasanii wa muziki wa kizazi kipya kwa jumla.Watu wanahoji umakini wao katika mahusiano ya kimapenzi wanayoanzisha na kuyaendesha, wakiamini baadhi yao wanaigiza zaidi kuliko uhalisia wao. Baadhi ya wakosoaji, hata hivyo, licha ya kukiri migogoro ya ndoa na uhusiano imegubika sehemu kubwa ya jamii inayotuzunguka, wanaamini tabaka la waigizaji...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hakuna Komediani Kama Mimi Bongo- Asha Boko

MCHEKESHAJI wa Kike katika tasnia ya filamu Swahilihood Asha Boko ametamba kuwa hakuna mchekeshaji bora wa kike kama yeye Bongo bali kuna wanao jaribu lakini si kuigiza nafasi ya ucheshi kama yeye kwnai hadi sasa hajaona kabisa msanii mwenye uwezo kama alionao yeye kwa Afrika Mashariki anataka wajitokeze zaidi apate mpinzani.

“Hakuna kama Asha Boko katika sekta hiyo muhimu ya uchekeshaji ni mimi pekee yangu sioni mpinzani kabisa angalau kidogo Dogo Tausi Mdegela anajaribu kuja lakini naye...

 

10 years ago

Mtanzania

BATULI: Kanumba kama kaacha laana kwenye filamu za bongo

BATULI 2NA FESTO POLEA

APRILI 7 mwaka 2012 tasnia ya filamu ilipatwa na majonzi makubwa kutokana na kifo cha aliyekuwa mwigizaji nguli, Steven Kanumba, ambaye alikuwa kipenzi cha wengi ndani na nje ya nchi.
Licha ya wengi kutokuamini kwa muda huo, baada ya muda ikagundulika kweli amefariki, hivyo majonzi zaidi yakarindima, huku kila mtu akisema lake kuhusu kifo hicho.
Baada ya mazishi yake mashabiki walijipa matumaini kwamba tasnia hiyo licha ya kumpoteza mwigizaji huyo ingeendelea vema kutokana na...

 

10 years ago

Mtanzania

Bahanuzi amwonyesha Dida

Said Bahanuzi

Said Bahanuzi

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Said Bahanuzi, ameendeleza kuonesha cheche zake za kurejea kwenye moto wake wa mwaka juzi, kwani jana alimuonesha cha moto kipa wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’.

Bahanuzi alimpigia mashuti makali Dida, ambayo alishindwa kuyadaka, huku mawili kati ya hayo yakigonga mwamba wa juu na kujaa wavuni, jambo ambalo liliamsha hisia za mashabiki wa Yanga na kumsifia.

Mashabiki hao waliokuwa wakichungulia mazoezi ya Yanga kwa nje sambamba na MTANZANIA...

 

10 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: ...kama vipi bora mkoa, bongo ishaanza kuboa

Ebwana heri ya mwaka mpya, najua utakatiza tu kwa rehema zake Mwenyezi Mungu, inshaallah..

 

10 years ago

Vijimambo

KAMA ULIKUWA UJUHI HABARI NDIYO HII HUKO BONGO MJINI

 Shida ya foleni kati ya Airport na City Centre kuisha?? Cheki treni mpya hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 800-1000. Tutaiweza kweli?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani