Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITA KWA KISHINDO,SPIKA NDUGAI ASEMA IMEVUNJA REKODI NA YAJAYO YANAFURAHISHA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
BAJETI imepita!Hiyo ndio habari ya Mjini kwa siku ya leo baada ya wabunge kupitisha kwa kishindo Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2020/2021 yenye jumla ya Sh.trilioni 34.88.
Kura ambazo zimepigwa na wabunge na kufanikisha kuipitisha bejeti hiyo ni  kura za ndio 304 huku kura , 63 za hapana huku wabunge 18.Hata hivyo safari hii wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao wamepiga kura ya ndio.
Kwa kukumbusha tu bajeti ya mwaka huu ndio ambayo imeungwa mkono zaidi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2020-2021 YAPITISHWA KWA KISHINDO


Wabunge wamepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ya jumla ya shilingi Trilioni 34.88.Bajeti hiyo imepitishwa kwa kura 304 za ndio kati ya kura 371 zilizopigwa na wabunge waliokuwepo bungeni jijini Dodoma.Shughuli ya upigaji kura, imefanyika kwa mbunge kuitwa jina lake na kupiga kura hadharani kwa sauti.Akitangaza matokeo ya kura, Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema, wabunge waliopiga kura walikuwa 371 na wabunge 13 hawakuwepo bungeni.Kagaigai amesema, kura 63...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti Kuu yapita gizani, Mkuya atema cheche

>Bajeti Kuu ya Serikali ya 2014/15 imepitishwa jana bungeni mjini hapa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akisema lazima wafanyabiashara walipe kodi inayostahili na iwapo kuna anayedhani anapata hasara kwa kulipa kodi afunge biashara.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti ya Serikali yapita

BAJETI ya Serikali imepita jana baada ya kuridhiwa na wabunge wengi wakiwemo baadhi ya Kambi ya Upinzani, ambapo Wabunge waliopiga kura za Ndiyo 234, Hapana 66.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Serikali yapita bungeni

Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016, imepitishwa na Bunge, huku kwa mara ya kwanza Mbunge wa Vunjo Augustine Mrema akiipinga, lakini wabunge watatu wa upinzani waliiunga mkono.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Spika Ndugai asema 'Hatuwezi kuchukua hatua kama za Ulaya'

Wakati nchi mbalimbali barani Afrika zikichukua hatua ya kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona, Spika wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa taifa hilo haliwezi kuchukua hatua zinazotumika na mataifa mengine barani Ulaya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maadhimisho yapita kwa kishindo Misri

Watu kadha wameuwawa katika maadhimisho ya maandamano yaliyompindua Hosni Mubarak miaka mitatu iliyopita

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Uchukuzi yapita kwa mbinde

Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi jana uligeuka shubiri kwa Waziri Samuel Sitta wakati alipobanwa na wabunge kutokana na Serikali kushindwa kuboresha usafiri wa reli na anga.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya imevunja rekodi ya 4x1500m

Asbel Kiprop aliiongoza Kenya kuvunja rekodi ya dunia ya 4x1500m zinazoendelea Bahamas

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA UWASILISHAJI WA MAPENDEKEZO BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2020/2021


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akipongezwa na Wabunge baada ya kuwasilishwa Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi  kwa mwaka 2020/2021, bungeni jijini DodomaKatibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, (wa tatu kushoto) na Wakuu wa Taasisi, Idara wa Wizara hiyo na Viongozi wengine wa Serikali ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani