Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajeti ya Serikali yapita bungeni

Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016, imepitishwa na Bunge, huku kwa mara ya kwanza Mbunge wa Vunjo Augustine Mrema akiipinga, lakini wabunge watatu wa upinzani waliiunga mkono.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bajeti ya Serikali yapita

BAJETI ya Serikali imepita jana baada ya kuridhiwa na wabunge wengi wakiwemo baadhi ya Kambi ya Upinzani, ambapo Wabunge waliopiga kura za Ndiyo 234, Hapana 66.

 

5 years ago

Michuzi

BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITA KWA KISHINDO,SPIKA NDUGAI ASEMA IMEVUNJA REKODI NA YAJAYO YANAFURAHISHA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
BAJETI imepita!Hiyo ndio habari ya Mjini kwa siku ya leo baada ya wabunge kupitisha kwa kishindo Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2020/2021 yenye jumla ya Sh.trilioni 34.88.
Kura ambazo zimepigwa na wabunge na kufanikisha kuipitisha bejeti hiyo ni  kura za ndio 304 huku kura , 63 za hapana huku wabunge 18.Hata hivyo safari hii wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao wamepiga kura ya ndio.
Kwa kukumbusha tu bajeti ya mwaka huu ndio ambayo imeungwa mkono zaidi...

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti yapita kiulaini

Waziri wa  Fedha, Saada Mkuya SalumBAJETI ya Serikali imepita jana baada ya kuridhiwa na wabunge wengi wakiwemo baadhi ya Kambi ya Upinzani, ambapo Wabunge waliopiga kura za Ndiyo 234, Hapana 66.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti ya Wizara ya Kilimo yapita

PAMOJA na wabunge kuchachamalia makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kuondoa shilingi mara kadhaa, bajeti hiyo ilipita pamoja na maboresho.

 

11 years ago

CloudsFM

BAJETI KUU YA SERIKALI KUSOMWA LEO BUNGENI DODOMA

Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.
Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.

Vipaumbele vya Bajeti hiyo, kwa maana ya miradi itakayozingatiwa zaidi, ni iliyo katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Mwakyembe yatikisa Bunge, yapita

>Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe jana usiku alikuwa katika wakati mgumu wakati Bunge lilipoketi kama Kamati ya Matumizi, kiasi cha kutishia bajeti ya wizara yake kukwama.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Uchukuzi yapita kwa mbinde

Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi jana uligeuka shubiri kwa Waziri Samuel Sitta wakati alipobanwa na wabunge kutokana na Serikali kushindwa kuboresha usafiri wa reli na anga.

 

5 years ago

CCM Blog

BAJETI KUU YA SERIKALI 2020-2021 ILIVYOSOMWA BUNGENI DODOMA


Muda huu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE.

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti Kuu yapita gizani, Mkuya atema cheche

>Bajeti Kuu ya Serikali ya 2014/15 imepitishwa jana bungeni mjini hapa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akisema lazima wafanyabiashara walipe kodi inayostahili na iwapo kuna anayedhani anapata hasara kwa kulipa kodi afunge biashara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani