BAJETI KUU YA SERIKALI KUSOMWA LEO BUNGENI DODOMA
Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.
Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.
Vipaumbele vya Bajeti hiyo, kwa maana ya miradi itakayozingatiwa zaidi, ni iliyo katika...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
BAJETI KUU YA SERIKALI 2020-2021 ILIVYOSOMWA BUNGENI DODOMA

10 years ago
Habarileo09 May
Bajeti ya Serikali kusomwa Juni 11
BAJETI Kuu ya Serikali itasomwa Juni 11, mwaka huu katika kikao cha 10 cha Mkutano wa 20 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unaotarajia kuanza Jumanne ijayo mjini Dodoma.
10 years ago
Habarileo29 Apr
Dira Bajeti ya Serikali Kuu kujulikana leo
DIRA ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha, itajulikana leo baada ya Wabunge kukutana na Serikali kwa lengo la kueleza mipango na vipaumbele vya nchi, vitakavyotekelezwa kupitia bajeti hiyo.
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AWAONGOZA WATENDAJI WA WIZARA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI, BUNGENI JIJINI DODOMA, LEO
11 years ago
Dewji Blog15 May
Kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare (kulia) akizungumza na Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona, bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro...
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Bajeti ya Serikali yapita bungeni
11 years ago
Dewji Blog21 May
Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti
Waziri wa Ujenzi, Mh. John Magufuli akisoma bajeti ya Wizara hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la...
11 years ago
MichuziWABUNGE WA BUNGE LA EA TOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA
5 years ago
Michuzi
SPIKA NDUGAI AGOMEA HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI KUSOMWA,

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amekataa kusomwa kwa hotuba ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kwa kile alichoeleza kuwa zina shida ikiwemo kuwa na mambo mengi ya kubuni.
Amesema aliipata hotuba hiyo mapema na kuipitia ambapo amebaini kuwa na mambo mengi ya kubahatisha huku ikiwa haijazingatia kanuni za kiuandishi.
Amesema hawezi kuruhusu mambo ya mwaka wa kwanza na wa pili wa Bunge kufanywa katika mwaka wa tano na hivyo kusema...