Bajeti ya Serikali kusomwa Juni 11
BAJETI Kuu ya Serikali itasomwa Juni 11, mwaka huu katika kikao cha 10 cha Mkutano wa 20 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unaotarajia kuanza Jumanne ijayo mjini Dodoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM12 Jun
BAJETI KUU YA SERIKALI KUSOMWA LEO BUNGENI DODOMA
Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.
Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.
Vipaumbele vya Bajeti hiyo, kwa maana ya miradi itakayozingatiwa zaidi, ni iliyo katika...
11 years ago
Michuzi08 May
11 years ago
Michuzi16 Jun
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qR3mZchJ2j4/VMzw1eLqr0I/AAAAAAAHAjQ/YXv1dH0-69E/s72-c/1.jpg)
Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.
11 years ago
Habarileo25 Jun
Bajeti ya Serikali yapita
BAJETI ya Serikali imepita jana baada ya kuridhiwa na wabunge wengi wakiwemo baadhi ya Kambi ya Upinzani, ambapo Wabunge waliopiga kura za Ndiyo 234, Hapana 66.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-54VtxAjMpms/U4oEVErNEjI/AAAAAAAFm2E/6AvkPQvoanw/s72-c/231532ea6b897aeab44edb713c4912cb.jpg)
HITMA YA MAREHEMU AMINA ZAHRA MTENGETI KUSOMWA KESHO
![](http://3.bp.blogspot.com/-54VtxAjMpms/U4oEVErNEjI/AAAAAAAFm2E/6AvkPQvoanw/s1600/231532ea6b897aeab44edb713c4912cb.jpg)
Asalaam aleykum.
Khitma ya wanawake ikiwa ni Duaa kwa marhem AMINA ZAHRA MTENGETI itasomwa kesho Tarehe 3 JUNE,saa 10 alasiri eneo la REGENT ESTATE. Mlingotini karibu na nyumbani kwa Hajjat Mwatum MALALE.
Wote mnakaribishwa
11 years ago
Habarileo06 Jun
Bajeti Kuu ya Serikali yasukwa
KAMATI ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano, leo ilianza vikao vya siku sita na Serikali ili kutayarisha Bajeti Kuu ya Serikali, ambayo itasomwa Juni 12, mwaka huu na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya.
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Ukawa wairarua bajeti ya Serikali
NA ARODIA PETER, Dodoma
KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imeirarua bajeti ya Serikali na kuainisha mambo mbalimbali yatakayokwamisha utekelezaji wake.
Mbali na hayo, hotuba ya Ukawa ilitoa mchanganuo unaoonyesha kwamba kutokana na ukuaji wa deni la taifa, kila Mtanzania kwa sasa anadaiwa zaidi ya Sh 800,000.
Akisoma hotuba ya kambi hiyo bungeni jana, Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani bungeni kwa Wizara ya Fedha, James Mbatia alisema si sahihi Serikali kujigamba kuwa mwaka huu bajeti...
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Bajeti ya Serikali yapita bungeni