Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HITMA YA MAREHEMU AMINA ZAHRA MTENGETI KUSOMWA KESHO


Asalaam aleykum. 
Khitma ya wanawake ikiwa ni Duaa kwa marhem AMINA ZAHRA MTENGETI itasomwa kesho Tarehe 3 JUNE,saa 10 alasiri eneo la REGENT ESTATE. Mlingotini karibu na  nyumbani kwa Hajjat Mwatum MALALE.
Wote mnakaribishwa

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti azikwa leo Kisutu, Dar es salaam

 Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na viongozi wengine na waombolezaji wakiwa katika mazishi ya marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam jioni hii. Marehemu, ambaye ni mdogo wa Hajat Mwantumu Malale, Dkt. Asha-Rose Migiro, Balozi Radhia Msuya, alifariki jana  Shughuli za mazishi zikiendelea  Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali akiweka udongo kaburini  Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi...

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO CHA Amina-Zahara Shabani Mtengeti

Hajat Mwantumu Shabani Mtengeti (Mwatumu Malale) wa Mtaa wa Mlingotini Close, Regent Estate, Dar es salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Amina-Zahara Shabani Mtengeti (pichani) kilichotokea leo Mei 31, 2014 katika hospitali ya Kinondoni - kwa Dkt. Mvungi.
Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Jumapili baada ya Swalat A'lasir katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Ataswaliwa msikiti wa Maamur, Upanga. Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba...

 

11 years ago

Michuzi

HITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME YASOMWA LEO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya CCM Kisiwandui leo katika hitma na dua ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume. Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume akitia ubani wakati wa hitma ya kumuombea dua Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,wengine pia ni wake wa...

 

10 years ago

Michuzi

HITMA YA MAREHEMU SALIMIN AWADH YAFANYIKA LEO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuikana Viongozi na waislamu katika kisomo cha Hitma ya Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa Mwakilishiwa Jimbo la Magomeni (CCM) iliyosomwa leo jioni katika Msikiti wa Mushawal Mwembeshauri Mjini Unguja hitma hiyo ilihudhuriwa na Waumini na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi. Baadhiya Waislamu na Viongozi mbali mbali na wananchi wakiwa katika kisomo cha Hitma ya kumuombea Dua Marehemu Salmin Awadh...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hitma ya Marehemu Mzee Karume yasomwa mapema leo Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai maara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja kubhudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Iliyofanyika leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akiwaongoza Viongozi mbali mbali pamoja na Wananchi katika Kisomo cha...

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMINA NGALUMA

Waombelezaji wakitoka msikitini tayari kwa kwenda kwenye maziko. Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA MAREHEMU AMINA NGALUMA WAWASILI DAR

Mwili  wa mwanamuziki Amina Ngaluma ukipokelewa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere ukitokea Thailand alipofia. Jeneza lenye mwili wa  Amina Ngaluma likiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa kwa mumewe Kitunda.…

 

11 years ago

Michuzi

Kisomo cha 40 ya Marehemu Amina Ngaluma kufanyika Jumamosi jijini Dar

Na Mwandishi Wetu
KISOMO cha 40 ya aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa marehemu Rashid Sumuni, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehmu na kwamba pia watakuwa na shughuli maalum ya kufutarisha waumini baada ya kumalizika kisomo hicho.
“Tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa msiba wa...

 

11 years ago

Michuzi

WANAMUZIKI NA WADAU WA MUZIKI KUKUTANA VIJANA SOCIAL HALL KINONDONI KESHO ALHAMISI ASUBUHI KUJADILI MAZISHI YA AMINA NGALUMA

WANAMUZIKI na wadau wa muziki watakutana Alhamisi hii saa 5 asubuhi kujadili namna ya kusaidia na kushiriki mazishi ya mwimbaji Marehemu Amina Ngaluma (pichani, enzi za uhai wake).

Hilo litafanyika ndani ya ukumbi wa Vijana Social Hall (jirani na Mango Garden), Kinondoni jijini Dar es ambapo itaangaliwa namna nzuri ya kushirikiana na familia ya marehemu kuanzia hatua ya kuupokea mwili hadi mazishi.

Mwili wa Amina Ngaluma aliyefariki nchini Thailand Alhamisi iliyopita, utawasili jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani