TANGAZO LA KIFO CHA Amina-Zahara Shabani Mtengeti
![](http://3.bp.blogspot.com/-54VtxAjMpms/U4oEVErNEjI/AAAAAAAFm2E/6AvkPQvoanw/s72-c/231532ea6b897aeab44edb713c4912cb.jpg)
Hajat Mwantumu Shabani Mtengeti (Mwatumu Malale) wa Mtaa wa Mlingotini Close, Regent Estate, Dar es salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Amina-Zahara Shabani Mtengeti (pichani) kilichotokea leo Mei 31, 2014 katika hospitali ya Kinondoni - kwa Dkt. Mvungi.
Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Jumapili baada ya Swalat A'lasir katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Ataswaliwa msikiti wa Maamur, Upanga.
Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ijo5rqnJjfo/U4s5OIMboZI/AAAAAAAFm-A/CsHf_tpXBz0/s72-c/as1.jpg)
Marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti azikwa leo Kisutu, Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ijo5rqnJjfo/U4s5OIMboZI/AAAAAAAFm-A/CsHf_tpXBz0/s1600/as1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XmZgY3mEBHI/U4s5YU4jjEI/AAAAAAAFm-g/oteTpyl47W8/s1600/as2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-jr-XQY3lkEo/U4s5bk7T-JI/AAAAAAAFm-s/TRxkShRnItA/s1600/as3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qKTBJw33W7s/U4s5hJeVFVI/AAAAAAAFm-0/7EHjKTVS1js/s1600/as4.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-54VtxAjMpms/U4oEVErNEjI/AAAAAAAFm2E/6AvkPQvoanw/s72-c/231532ea6b897aeab44edb713c4912cb.jpg)
HITMA YA MAREHEMU AMINA ZAHRA MTENGETI KUSOMWA KESHO
![](http://3.bp.blogspot.com/-54VtxAjMpms/U4oEVErNEjI/AAAAAAAFm2E/6AvkPQvoanw/s1600/231532ea6b897aeab44edb713c4912cb.jpg)
Asalaam aleykum.
Khitma ya wanawake ikiwa ni Duaa kwa marhem AMINA ZAHRA MTENGETI itasomwa kesho Tarehe 3 JUNE,saa 10 alasiri eneo la REGENT ESTATE. Mlingotini karibu na nyumbani kwa Hajjat Mwatum MALALE.
Wote mnakaribishwa
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FbhzzHgQ_9w/VfmPSs3kpII/AAAAAAAAwuI/bGxBU-ccHAU/s72-c/MKE%2BWA%2BMAMBO%2B%2528IMG-20150916-WA0002%2529.jpg)
TANGAZO LA KIFO CHA MARGARETH MWAISAGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-FbhzzHgQ_9w/VfmPSs3kpII/AAAAAAAAwuI/bGxBU-ccHAU/s640/MKE%2BWA%2BMAMBO%2B%2528IMG-20150916-WA0002%2529.jpg)
Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited, wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Margaret Amon Mwaisaga (pichani) kilichotokea Hospitali ya TMJ 15.09.2015. Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu Mikocheni nyumba namba 87 barabara itokayo Clouds FM kwenda Kanisa la Mchungaji Rwakatare na mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa makaburi ya Kinondoni...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KT8-1YUmSgo/VVWjdruVrWI/AAAAAAAHXaQ/HL_H-iNuymQ/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
TANGAZO LA KIFO CHA MAMA NENDIWE JAPHET MBAGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-KT8-1YUmSgo/VVWjdruVrWI/AAAAAAAHXaQ/HL_H-iNuymQ/s640/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
VijimamboBALOZI WA UMOJA WA AFRIKA AMINA SALUM ALI ATOA RAMBI RAMBI KWA KIFO CHA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA
Na mwandishi wako, Washington, DC
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita aliyefariki siku ya siku ya Jumapili April 26, 2015 asubuhi na kuzikwa siku ya Jumanne April 28, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Balozi Amina Salum Ali alisema amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la...
9 years ago
Michuzi01 Sep
TANGAZO LA KIFO CHA MICHAEL JAPHET MBAGA NA JOHN JAPHET MBAGA
Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya alhamisi tarehe 3 Septemba, 2015 saa 10.00 jioni.
Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika siku hiyo hiyo, saa 7.00 mchana nyumbani kwa Mary Rusimbi (Mkurugenzi Mkuu, WOMEN FUND TANZANIA) eneo la Tabata - shule, nyumba za...
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
10 years ago
Michuzi02 Jun
TANGAZO LA KIFO
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/unnamed-181x300.jpg)
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1996 hadi 2002, Onel E. Malisa kilichotokea leo Alfajiri tarehe 2 Juni, 2015 katika Hospitali ya Dar Group, Jijini Dares Salaam.Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Familia ya Marehemu linaendelea kuratibu taratibu zote za kuaga na mazishi ya marehemu. Hivi sasa msiba upo nyumbani kwake Kinyerezi, Jijini Dar es Saalam. Aidha...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sqE32gw-r8o/VfJdKuwkPAI/AAAAAAAH38o/4_8hReLkqN4/s72-c/IMG-20150911-WA0000.jpg)
TANGAZO LA KIFO ROSE RAYMOND SHOGHOLO
![](http://2.bp.blogspot.com/-sqE32gw-r8o/VfJdKuwkPAI/AAAAAAAH38o/4_8hReLkqN4/s320/IMG-20150911-WA0000.jpg)