TANGAZO LA KIFO CHA MAMA NENDIWE JAPHET MBAGA
Familia ya marehemu mzee Japhet Mbaga, wa Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha mama yao, NENDIWE MBAGA, kilichotokea hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, siku ya Jumatano mchana, tarehe 13 Mei 2015 kwa ugonjwa wa pneumonia. Mama Nendiwe ni mama mzazi wa MARY RUSIMBI, Hillary Mbaga, Michael Mbaga, Rose Mshana, Stella Mbaga na John Mbaga.Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya Jumapili tarehe 17 Mei 2015 saa 10.00 jioni. Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi01 Sep
TANGAZO LA KIFO CHA MICHAEL JAPHET MBAGA NA JOHN JAPHET MBAGA
Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya alhamisi tarehe 3 Septemba, 2015 saa 10.00 jioni.
Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika siku hiyo hiyo, saa 7.00 mchana nyumbani kwa Mary Rusimbi (Mkurugenzi Mkuu, WOMEN FUND TANZANIA) eneo la Tabata - shule, nyumba za...
9 years ago
MichuziTANGAZO LA KIFO CHA MARGARETH MWAISAGA
Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited, wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Margaret Amon Mwaisaga (pichani) kilichotokea Hospitali ya TMJ 15.09.2015. Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu Mikocheni nyumba namba 87 barabara itokayo Clouds FM kwenda Kanisa la Mchungaji Rwakatare na mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa makaburi ya Kinondoni...
11 years ago
MichuziTANGAZO LA KIFO CHA Amina-Zahara Shabani Mtengeti
Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Jumapili baada ya Swalat A'lasir katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Ataswaliwa msikiti wa Maamur, Upanga. Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba...
5 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA MINJINGU MKOANI MANYARA
10 years ago
GPLMAMA KIKWETE GUMZO KIFO CHA BANZA!
11 years ago
Habarileo06 Jun
Baba, mama wasababisha kifo cha mtoto
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia baba mzazi huku ikimsaka mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu wa mapenzi.
11 years ago
GPLMAMA WEMA AIBIWA HATI YA KIFO CHA MUMEWE
10 years ago
MichuziKUMBUKUMBU YA KIFO CHA MAMA YETU MPENDWA MRS K. MNUBI.
Tunakukumbuka sana mama japo kimwili haupo nasi, pengo lako daima haliwezi kuzibika. Tunakukumbuka kwa upendo wako, ushauri wako kama mama na mke. Kipekee unakumbukwa sana na mume wako mpendwa ACP Kedmond...
11 years ago
GPLEDWARD LOWASSA AOMBOLEZA KIFO CHA MAMA MZAZI WA TIDO MHANDO