Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA WEMA AIBIWA HATI YA KIFO CHA MUMEWE

Stori: Makongoro Oging’ na Imelda Mtema NI balaa ni nini? Mariam Athuman Sepetu ambaye ni mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ametinga katika Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar kutoa taarifa ya kupotelewa hati ya uthibitisho ya kifo cha mume wake, marehemu Isaac Sepetu. Mariam Athuman Sepetu ambaye ni mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Vyanzo vyetu toka ndani ya jeshi la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE AOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA

WANAWAKE wengi duniani bado wananyanyaswa kijinsia kwa sababu za kijamii, kiuchumi na kipato licha ya kuwepo kwa elimu kuhusu haki zao.

Mwanamama Ester Charles ambaye ni mkazi wa Mwambani wilayani Ilemela ametelekezwa na mumewe aliyetajwa kwa jina la Albinus na kubakizwa na watoto wawili wadogo wanaohitaji uangalizi na usimamizi. Pichani mwanamama Ester akiwa na mtoto wake mdogo anayetaabika na ugonjwa wa kupooza. 


KWA UFUPI
Mumewake alipopata mwanamke mwingine alihama nyumba aliyokuwa akiishi...

 

9 years ago

GPL

MKE WA MTIKILA AMUOMBA KIKWETE KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA KIFO CHA MUMEWE

Mke wa marehemu Mch. Mtikila, Georgia Mtikila (katikati) akizungumza na wanahabari. Hapawapo pichani. Wanahabari wakichukua tukio hilo. Georgia Mtikila akisoma taarifa yake pembeni yake…

 

10 years ago

GPL

MAMA AIBIWA MTOTO KLINIKI!

Dustan Shekidele, Morogoro Inauma sana! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Martha Masawe (20), mkazi wa Kilakala mkoani hapa, ameibiwa mtoto mchanga mwenye umri wa siku 34 akiwa katika Hospitali ya Nunge, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori. Martha Masawe akiwa kwenye foleni. Tukio lililofanywa kimafia lilijiri Ijumaa iliyopita saa 7:00 mchana wakati Martha akiwa kwenye foleni. Akihojiwa na Ijumaa Wikienda huku...

 

10 years ago

GPL

MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA

HII ni mara ya pili ninaandika kuhusu Miriam Sepetu, mama mzazi wa muigizaji nyota, Wema Sepetu. Bado ninakumbuka vizuri nilichokiandika mara ya kwanza, ilikuwa ni kuhusu tabia yake wakati ule. Alipenda sana kuzungumza na magazeti kuhusu nyenendo za mwanaye katika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond. Ingawa ni kweli mzazi ana nafasi muhimu katika maisha ya kimapenzi ya mtoto wake, lakini siyo jambo la busara kuingilia kupita...

 

10 years ago

GPL

MAMA KIKWETE GUMZO KIFO CHA BANZA!

GLADNESS MALLYA SAFI! Mke wa Rais mama Salma Kikwete ameibuka na kuwa gumzo baada ya kifo cha mwanamuziki nyota, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kufuatia ahadi yake ya kumsomesha mtoto wa marehemu, Haji ambaye yupo kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Turiani, iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ik5pZP ...

 

11 years ago

Habarileo

Baba, mama wasababisha kifo cha mtoto

POLISI mkoani Rukwa inamshikilia baba mzazi huku ikimsaka mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO CHA MAMA NENDIWE JAPHET MBAGA

Familia ya marehemu mzee Japhet Mbaga, wa Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha mama yao, NENDIWE MBAGA, kilichotokea hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, siku ya Jumatano mchana, tarehe 13 Mei 2015 kwa ugonjwa wa pneumonia. Mama Nendiwe ni mama mzazi wa MARY RUSIMBI, Hillary Mbaga, Michael Mbaga, Rose Mshana, Stella Mbaga na John Mbaga.Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya Jumapili tarehe 17 Mei 2015 saa 10.00 jioni. Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika...

 

10 years ago

GPL

KITUMBO CHA ZARI KIMEMFURAHISHA MAMA WEMA!

Stori: Imelda Mtema/Amani SIKU chache baada ya kuvuja kwa picha zinazomuonesha mpenzi wa sasa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na kitumbo kinachoashiria kukua kwa ujauzito, mama mzazi wa zilipendwa wa Diamond, Wema Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu amefunguka kuwa amefurahia tukio hilo.
Mzazi huyo ambaye ni fundi wa kuzungumza, alisema tukio hilo...

 

10 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MAMA YETU MPENDWA MRS K. MNUBI.

Sasa ni miaka miwili tangu mama yetu kipenzi ulipoitikia sauti ya Mungu hapo tarehe 07.06.2012.

Sisi kama familia tunatoa shukrani za pekee kwa Mungu kwa jinsi alivyoweza kutulinda na kutupa Faraja ya pekee katika kipindi chote cha majonzi na hadi sasa tunatimiza miaka mitatu bila kuwa nawe. 
Tunakukumbuka sana mama japo kimwili haupo nasi, pengo lako daima haliwezi kuzibika. Tunakukumbuka kwa upendo wako, ushauri wako kama mama na mke. Kipekee unakumbukwa sana na mume wako mpendwa ACP Kedmond...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani