Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MAMA YETU MPENDWA MRS K. MNUBI.

Sasa ni miaka miwili tangu mama yetu kipenzi ulipoitikia sauti ya Mungu hapo tarehe 07.06.2012.

Sisi kama familia tunatoa shukrani za pekee kwa Mungu kwa jinsi alivyoweza kutulinda na kutupa Faraja ya pekee katika kipindi chote cha majonzi na hadi sasa tunatimiza miaka mitatu bila kuwa nawe. 
Tunakukumbuka sana mama japo kimwili haupo nasi, pengo lako daima haliwezi kuzibika. Tunakukumbuka kwa upendo wako, ushauri wako kama mama na mke. Kipekee unakumbukwa sana na mume wako mpendwa ACP Kedmond...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU GODFREY MNGODO COLUMBUS. OHIO

Familia ya Michael na Teddy pamoja na Mngodo wote, tunapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki zetu kwenye ibada maalumu ya shukurani, na kusherehekea maisha ya Marehemu Baba yetu Mzee GODFREY MBIU MNGODO, (pichani) itakayofanyika siku ya jumamosi 10/31/2015 kuanzia saa kumi jioni hadi saa tatu usiku ..Mahali ni 35 E.STANTON AVE, COLUMBUS OH 43214. Karibuni sana na Mungu awabariki.
Kwa maelezo zaidi na maelekezoMichael Mngodo 614 446 5565

 

9 years ago

Vijimambo

IBADA YA MAOMBI YA MPENDWA MAMA YETU DMV JUMAPILI

Bettisheba Pole Ketang'enyi enzi ya uhai wake
Familia za Ketangenyi na Musika zinawakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika ibada ya maombi ya kumuombeamarehemu mpendwa Mama yetu, Dada yetu, Bibi yetuBettisheba Pole Ketang’enyialiyefariki asubuhi ya tarehe 30 September, 2015.
Misa itafanyika siku ya Jumapili, tarehe 4 October, 2015 kuanzia saa mbili asubuhi (8:00 am) hadi saa tano kasorobo (10:45 am.)
Location: Francis Collins Funeral Home500 University Blvd, WestSilver Spring, MD...

 

9 years ago

Vijimambo

ANGALIA LIVE IBADA YA MAMA YETU MPENDWA BETTISHEBA

Broadcast live streaming video on Ustream

 

11 years ago

GPL

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MAMA MRS AURELIA FRANCIS NSOLO DMV‏

Picha ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo aliyefariki Marcha 17, 2014 Tanzania na kufanyika misa ya kumbukumbu College Park, Maryland. siku ya Jumapili March 23, 2014.
Wachungaji walioongoza misa hiyo wakiiombea familia ya marehemu kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo iliyofanyika…

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA MAREHEMU MAMA MPENDWA BI. AZIZA S. BORORO DMV

Familia ya Bwana Shariff na Bi Jamila inapenda kuwataarifu juu ya KISOMO cha kumaliza msiba wa mpendwa marehemu Mama yao Bi Aziza S.Bororo kitakachofanyika siku ya Jumamosi 01/10/15 nyumbani kwao kuanzia saa nane na nusu (2.30pm) Adress ni 12726 Gladys Retreat Circle Bowie ,Md 20720 .Tafadhali ukipata taarifa hii mjulishe mwenzako .Contact # 301-674-9667 Shariff202 -271-1860 Aunt Grace 301-395-5133 Aisha.

 

9 years ago

Global Publishers

Leo ni Siku ya Kumbukumbu ya Kifo cha Sajuki

sajuki (1)
sajuki (3)Kaburi la aliyekuwa Staa wa Bongo Movie, Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’WASTARASAJUKISajuki enzi za uhai wake akiwa na Mkewe, Wastara Juma.

Tasnia ya Filamu na Uigizaji pamoja wa Watanzania wote leo Januari 2, wanakumbuka pigo walilolipata baada ya kuondokewa na Mwigizaji Mahiri Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki.

Sajuki kama ambavyo amekuwa akitambulika zaidi na wapenzi wa saa ya filamu na maigizo alifikwa na na umauti mapema asubuhi ya Jumatano, Januari 2, 2013 katika Hospital ya taifa ya Muhimbili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nilichokiona kumbukumbu ya kifo cha Kanumba 2014

MIAKA wiwili ya kifo cha  nyota wa filamu nchini, Steven  Kanumba,  ilivyokuwa  sivyo ilivyotarajiwa na  wengi. Aprili 7, 2012 ndiyo siku msanii huyo alifariki dunia kutokana na kifo cha ghafla...

 

10 years ago

Vijimambo

LEO NI MIAKA 43 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA KARUME

Leo April 7, 2015 ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume tangu alipouwawa kwa kupigwa risasi siku kama ya leo mwaka 1872.

 

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA FLORA FLOWIN MKANULA





KUMBUKUMBU YA FLORA(MAPENDO YA FLORA)_________________________
TUNAPOADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MPENDWA WETU FLORA FLOWIN MKANULA(1993 – 2013)___________________________________
Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani