Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KITUMBO CHA ZARI KIMEMFURAHISHA MAMA WEMA!

Stori: Imelda Mtema/Amani SIKU chache baada ya kuvuja kwa picha zinazomuonesha mpenzi wa sasa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na kitumbo kinachoashiria kukua kwa ujauzito, mama mzazi wa zilipendwa wa Diamond, Wema Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu amefunguka kuwa amefurahia tukio hilo.
Mzazi huyo ambaye ni fundi wa kuzungumza, alisema tukio hilo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA

HII ni mara ya pili ninaandika kuhusu Miriam Sepetu, mama mzazi wa muigizaji nyota, Wema Sepetu. Bado ninakumbuka vizuri nilichokiandika mara ya kwanza, ilikuwa ni kuhusu tabia yake wakati ule. Alipenda sana kuzungumza na magazeti kuhusu nyenendo za mwanaye katika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond. Ingawa ni kweli mzazi ana nafasi muhimu katika maisha ya kimapenzi ya mtoto wake, lakini siyo jambo la busara kuingilia kupita...

 

11 years ago

GPL

MAMA WEMA AIBIWA HATI YA KIFO CHA MUMEWE

Stori: Makongoro Oging’ na Imelda Mtema NI balaa ni nini? Mariam Athuman Sepetu ambaye ni mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ametinga katika Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar kutoa taarifa ya kupotelewa hati ya uthibitisho ya kifo cha mume wake, marehemu Isaac Sepetu. Mariam Athuman Sepetu ambaye ni mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Vyanzo vyetu toka ndani ya jeshi la...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz

Nyuso za wazazi wa mastaa wawili wa Afrika, Diamond na Zari zilionekana zenye furaha mbele ya mjukuu wao Lattifah Nasib a.k.a Tiffah katika picha waliyopiga nyumbani kwa Diamond ambapo mwenyewe anapaita ‘state house’. Zari amepost picha ya mama yake mzazi akiwa amembeba Tiffah na pembeni akiwa na mama yake Diamond, kwa pamoja wanaonekana wakizungumza jambo […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema, Zari Wakinukisha!

Kwa upande wa burudani wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party aliekinukisha  usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu aliyokinukisha  jijini Mwanza ambapo mashabiki wa  warembo hao warushiana maneno.

 Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la Risasi kilidai kuwa Zari amepata sapoti kubwa kutoka kwa mpenzi wake wa sasa Diamond kwani walikuwa...

 

10 years ago

GPL

WEMA MREMBO KULIKO ZARI

IMELDA MTEMA Kumbe! Imebainika kuwa maneno ‘gold digger’ katika ulimwengu wa fursa yanamaanisha kuwa ni mtu anayeona fursa na kuzitumia katika ‘kufaiti’ kupata mafanikio (utajiri) kwenye maisha. Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ Ndivyo alivyo mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye humwambii kitu...

 

10 years ago

GPL

WEMA, ZARI WATOANA JASHO

Musa mateja na Imelda Mtema
Nisheedah! Gumzo la mjini wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu iliyofanyika jijini Mwanza ambapo nyuma ya pazia, warembo hao walitoana jasho kuhakikisha...

 

10 years ago

GPL

WEMA AMTUSI SHEMEJI WA ZARI

Stori: Imelda Mtema/Mchanganyiko KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu… ...

 

10 years ago

GPL

WEMA, ZARI JIONGEZE MWENYEWE!

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akipozi. Kumekuwa na maneno mengi juu ya nani mzuri kati ya staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Wema ametembea na Diamond na sasa Zari anadaiwa kuchukua uskani. Ijumaa Wikienda limechukua jukumu la kumaliza ubishi ambapo lilibandika swali hilo kwenye mitandao ya kijamii ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani