WEMA, ZARI WATOANA JASHO
![](http://api.ning.com:80/files/wTFR6FHHG9Jaj7pw8wgwo5n2WBqdOjBjNdwyeR-i18otsCwX4fDQWTPLwzavL21gX2Ufd16Qfv8Zkk4*ONA031UVTEXjnHEZ/FRONTRISASIJUMAMOSI.gif?width=650)
Musa mateja na Imelda Mtema Nisheedah! Gumzo la mjini wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu iliyofanyika jijini Mwanza ambapo nyuma ya pazia, warembo hao walitoana jasho kuhakikisha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYpBXzSmmzy4zoNfhbH8x-v6oC0r-RjzVi184vQDTNl3blytKer2Vgb5ajFSl9awjb29RMhdWSe-Gp6mK71RGGac/kajala.jpg)
KAJALA WEMA WATOANA JASHO POLISI
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Zitto, TPDC watoana jasho
MVUTANO mkali umeibuka kati ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), kuhusu mikataba ya gesi nchini....
10 years ago
GPLWASICHANA WATOANA JASHO AIRTEL RISING STARS
11 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI KILIMANJARO WATOANA JASHO KATIKA BONANZA LA BANKERS DAY 2014.
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
10 years ago
Bongo Movies02 May
Wema, Zari Wakinukisha!
Kwa upande wa burudani wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party aliekinukisha usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu aliyokinukisha jijini Mwanza ambapo mashabiki wa warembo hao warushiana maneno.
Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la Risasi kilidai kuwa Zari amepata sapoti kubwa kutoka kwa mpenzi wake wa sasa Diamond kwani walikuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/uw8ZJ9XBTbVHBAcCa6PrggD*Gn2G1IuN9kLVdUy0r9I-CF2cRMKyzxJlN3Zc-OCAoE5q9P8bYqp2jy-vDjpwDI5*lZbqd*Ny/ScreenShot20140616at4.15.25PM.png?width=650)
WEMA, ZARI JIONGEZE MWENYEWE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvMLjQ0ca6hs7Qk2XpmorEBydREbWlQ*UYuCdL6lgwLFsoZASdwJB4ByZpzZmJ8BDaFBsFrTBS-ECQTmobrUDkTD/FRONTRISASI.jpg)
WEMA AMTUSI SHEMEJI WA ZARI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbc3d80dzKVTl0oGSXI9M5ABikwJsiD54G8f70j1Hm2uS2GWnL9wdZzSgA2-BW5l1dhfyJwZEShRBoDCGh2Kb0GG/4.jpg?width=650)
WEMA MREMBO KULIKO ZARI