Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI KILIMANJARO WATOANA JASHO KATIKA BONANZA LA BANKERS DAY 2014.

Wafanyakazi wa Benki mbalimbali mkoani Kilimanjaro wakitoana jasho katika mashindano ya mbio za mita 400.Wafanyakazi wa Benki mbalimbali wakioneshana uwezo wa kusukuma Gogo katika Bonanza la Bankers Day lililofanyika katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika na Baiashara mjni Moshi.Mmoja wa wafanyakazi wa Benki akionesha kuku baada ya kufanikiwa kumshika katika mashindano ya kukimbiza kuku.Wengine walioneshana uwezo katika kukimbia huku wakiwa wamevaa gunia.Kwa upande wa kamba mshindi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HUAWEI WANOGESHA BONANZA LA WAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI MBEYA

Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Lydia Wangari akizungumza na waandishi wa habari jana katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha TEKU mara baada ya kuzindua bonanza la wafanyakazi wa mabenki lililoandaliwa na Real Brand Solutions Ltd na kudhaminiwa na Huawei. Baadhi ya wafanyakazi wa mabenki mkoani Mbeya wakipata huduma katika vibanda vya Huawei.… ...

 

10 years ago

GPL

WEMA, ZARI WATOANA JASHO

Musa mateja na Imelda Mtema
Nisheedah! Gumzo la mjini wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu iliyofanyika jijini Mwanza ambapo nyuma ya pazia, warembo hao walitoana jasho kuhakikisha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zitto, TPDC watoana jasho

MVUTANO mkali umeibuka kati ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), kuhusu mikataba ya gesi nchini....

 

9 years ago

Michuzi

RC KILIMANJARO AWASIFU WAANDAAJI WA BONANZA LA MADESHO DAY

Timu ya Ushrika wakijandaa kuvuta kamba katika bonanza la kumbukumbu ya Mwenyekiti wa kwanza wa klabu ya Moshi veterani Marehemu Madesho Moye.  Kikosi cha wachezaji wa timu ya Kitambi noma.  Wachezaji wa timu ya Moshi eterani wakiongozwa na nahodha wao mpya aliyesajiliwa katika kipindi hiki cha dirisha dogo,Amosi Makala ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakinyoosha kabla ya kuanza mpambano.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

GPL

KAJALA WEMA WATOANA JASHO POLISI

Stori: Waandishi Wetu
Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’, mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha Polisi cha Kijitonyama almaarufu Mabatini jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’. DURU ZA ‘KIUBUYU’
Duru za ‘kiubuyu’ zilidai kwamba...

 

10 years ago

GPL

WASICHANA WATOANA JASHO AIRTEL RISING STARS

Mchezaji timu ya soka ya wasichana ya Ilala Fatuma Salumu (Kushoto) akichuana na mchezaji wa timu ya Simba Queens Mwanaidi Hamisi katika michuano ya Airtel Rising Stars kwenye kiwanja cha kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam jana. Simba Queens walishinda 2 – 0. Mchezaji timu ya soka ya wasichana ya Ilala Fatuma Salumu (Kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Simba Queens Asha Abdul katika michuano ya Airtel...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taswira ya Bonanza la wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku mkoani Morogoro

 Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco Co. Ltd. (TLTC) na Tanzania Tobacco Processing Company TTPL wakishindana kunywa soda na kula mkate wakati wa bonanza la siku ya familia iliyofanyika Morogoro. Wafanyakazi wa kike wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco Co. Ltd. (TLTC) na Tanzania Tobacco Processing Company TTPL wakishindana kuvuta kamba wakati wa bonanza la siku ya familia liliyofanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Magadu.  Wafanyakazi  wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco...

 

10 years ago

Michuzi

Engen Tanzania yawakutanisha wafanyakazi wake pamoja katika Bonanza la Kumaliza Mwaka

Sehemu ya Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya Engen Tanzania wakijadiliana jambo kabla ya kuanza mtanange wao katika Bonanza la kusherehekea kumaliza mwaka 2014,lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Sunrise,Kigamboni jijini Dar es Salaam.Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya engen wakiendelea kuonesha vipaji vyao vingine kwenye sherehe ya kumaliza mwaka.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

IDYDC 2014 WORLD MALARIA DAY SOCCER TOURNAMENT YAFANA MKOANI IRINGA

Mshambuliaji wa Shule ya Sekondari ya BaoBab ya Bagamoyo mkoani Pwani, Zuward Ally akiwatoka mabeki wa timu ya Upendo wakati wa Tamasha la Soka la kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani 2014 lililoandaliwa na IDYDC na Grassrootsoccer kwa udhamini wa ExxonMobil, katika Uwanja wa Kituo cha Soka la Matumaini cha FIFA, mjini Iringa Mwishoni mwa wiki. Tamasha hilo lilihusisha wachezaji 80 vijana wa kike wenye umri kati ya miaka 15 - 18 kutoka timu nane za Bagamoyo na Iringa. Upendo ilishinda bao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani