Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA WEMA WATOANA JASHO POLISI

Stori: Waandishi Wetu
Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’, mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha Polisi cha Kijitonyama almaarufu Mabatini jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’. DURU ZA ‘KIUBUYU’
Duru za ‘kiubuyu’ zilidai kwamba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA, ZARI WATOANA JASHO

Musa mateja na Imelda Mtema
Nisheedah! Gumzo la mjini wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu iliyofanyika jijini Mwanza ambapo nyuma ya pazia, warembo hao walitoana jasho kuhakikisha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zitto, TPDC watoana jasho

MVUTANO mkali umeibuka kati ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), kuhusu mikataba ya gesi nchini....

 

10 years ago

GPL

WASICHANA WATOANA JASHO AIRTEL RISING STARS

Mchezaji timu ya soka ya wasichana ya Ilala Fatuma Salumu (Kushoto) akichuana na mchezaji wa timu ya Simba Queens Mwanaidi Hamisi katika michuano ya Airtel Rising Stars kwenye kiwanja cha kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam jana. Simba Queens walishinda 2 – 0. Mchezaji timu ya soka ya wasichana ya Ilala Fatuma Salumu (Kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Simba Queens Asha Abdul katika michuano ya Airtel...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI KILIMANJARO WATOANA JASHO KATIKA BONANZA LA BANKERS DAY 2014.

Wafanyakazi wa Benki mbalimbali mkoani Kilimanjaro wakitoana jasho katika mashindano ya mbio za mita 400.Wafanyakazi wa Benki mbalimbali wakioneshana uwezo wa kusukuma Gogo katika Bonanza la Bankers Day lililofanyika katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika na Baiashara mjni Moshi.Mmoja wa wafanyakazi wa Benki akionesha kuku baada ya kufanikiwa kumshika katika mashindano ya kukimbiza kuku.Wengine walioneshana uwezo katika kukimbia huku wakiwa wamevaa gunia.Kwa upande wa kamba mshindi...

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

9 years ago

GPL

GAUNI LA KAJALA LAMTOA JASHO ‘DIZAINA’ WAKE

Gauni la staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja, lilizua minon’gono ukumbini wakati wa Shindano la Kinondoni Talents Search (KTS) lililofanyika katika Ukumbi wa Millennium Tower, Makumbusho jijini Dar baada ya gauni hilo kuambatana na watu wa kulishika. Staa huyo aliingia ukumbini hapo akiambata na kijana mmoja akilishika gauni lake ambapo kila alipokatiza kijana huyo alikuwa na kazi ya kuzunguka naye kuhakikisha nguo hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani