Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

GAUNI LA KAJALA LAMTOA JASHO ‘DIZAINA’ WAKE

Gauni la staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja, lilizua minon’gono ukumbini wakati wa Shindano la Kinondoni Talents Search (KTS) lililofanyika katika Ukumbi wa Millennium Tower, Makumbusho jijini Dar baada ya gauni hilo kuambatana na watu wa kulishika. Staa huyo aliingia ukumbini hapo akiambata na kijana mmoja akilishika gauni lake ambapo kila alipokatiza kijana huyo alikuwa na kazi ya kuzunguka naye kuhakikisha nguo hiyo...

GPL

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAJALA WEMA WATOANA JASHO POLISI

Stori: Waandishi Wetu
Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’, mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha Polisi cha Kijitonyama almaarufu Mabatini jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’. DURU ZA ‘KIUBUYU’
Duru za ‘kiubuyu’ zilidai kwamba...

10 years ago

Bongo Movies

Kajala Atangaza Kumsamehe Mbaya Wake

Staa wa Bongo Movies, Kajala, ambaye wiki kadhaa zilizopita alishambuliwa na kujeruhiwa usoni kwa chupa na kijana alieyedai kuwa ni pombe zilimtuma vibaya, amesema licha ya shauri hilo kuwepo bado polisi, binafsi amekwishamsamehe kabisa kiroho safi jamaa

Kajala aliyasema hayo kwenye eNewz ya EATV  na pia alitumia nafasi hiyo kukanusha dhahiri kuwa mbaya wake huyo hahusiani kwa namna yoyote na pande mbili za mashabiki wenye mivutano mikubwa ambao ni  TeamWema wanaomsapoti mwanadada Wema...

10 years ago

Bongo Movies

Wema sepetu azungumzia ishu ya kuajiriwa na kajala. Mpenzi wake kutoka na mtu mwingine na bifu zake.

Mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala. 

Kupitia You heard ya  XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye [Wema]. Wema Sepetu akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’

Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata...

ISABELA ASAKA GAUNI LA HARUSI

Stori: Gladness Mallya
MMH! Katika hali ya kushangaza na kuonyesha kwamba ana hamu ya ndoa, msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda hivi karibuni alinaswa akitafuta gauni la harusi wakati hata vikao havijaanza. Msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda. Kikizungumza chanzo makini kilisema mwanadada huyo alikuwa maeneo ya Makumbusho jijini Dar akipita kwenye maduka mbalimbali akitafuta gauni la harusi wakati hata...

10 years ago

BBCSwahili

Gauni ya Lupita ya Oscars yapatikana

Nguo aliyovaa mcheazji sinema kutoka Kenya, Lupita, katika Oscars yapatikana baada ya kupotea

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani