Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kajala Atangaza Kumsamehe Mbaya Wake

Staa wa Bongo Movies, Kajala, ambaye wiki kadhaa zilizopita alishambuliwa na kujeruhiwa usoni kwa chupa na kijana alieyedai kuwa ni pombe zilimtuma vibaya, amesema licha ya shauri hilo kuwepo bado polisi, binafsi amekwishamsamehe kabisa kiroho safi jamaa

Kajala aliyasema hayo kwenye eNewz ya EATV  na pia alitumia nafasi hiyo kukanusha dhahiri kuwa mbaya wake huyo hahusiani kwa namna yoyote na pande mbili za mashabiki wenye mivutano mikubwa ambao ni  TeamWema wanaomsapoti mwanadada Wema...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

"Kajala ni rafiki MBAYA KULIKO WOTE DUNIANI, NAJUTA kumsaidia" - Wema Sepetu

HATARI BALAA!, Wema finally kaamua kufunguka kuhusu Kajala.  Yani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho, ni hatari sana!

Amedai Kajala is the worst friend she has ever had. Na kasema ana regret kumsaidia Kajala,ile kumlipia kumtoa jela anasema anaregret vibaya sana.

Tusimalize uhondo. Msikilize mwenyewe akiongea HAPA

 

10 years ago

GPL

MDOSI AMFANYIA MBAYA DEREVA WAKE

Chande abdallah na deogratius mongela Mdosi mmoja ambaye ni bosi wa kampuni moja ya kusafirisha mafuta jijini Dar aliyefahamika kwa jina la Jetti anasakwa na polisi kwa RB; CHA/RB/5871/2015 SHAMBULIO LA MWILI akidaiwa kumfanyia kitu mbaya deveva wake aitwaye Deogratius.  Soma zaidi===>http://bit.ly/1enyBms

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AMPATANISHA WOLPER NA MBAYA WAKE

Stori: Gladness Mallya CHUKUA tano! Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefanikiwa kumpatanisha Jacqueline Wolper Massawe na mbaya wake ambaye ni msanii mwenzake wa filamu (jina kapuni). Jacqueline Wolper Massawe katika pozi.
Akizungumza na gazeti hili, Steve alifunguka kuwa uongozi wake upo kwa ajili ya kuweka kundi hilo likae katika njia sahihi hivyo aliamua kumuita Wolper na huyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara Amuanika Mbaya Wake, Kisa ni Kuolewa na Marehemu Sajuki

Baada ya kipindi kirefu cha tetesi ya staa wa filamu Wastara kuhofia maisha yake, akihisi upo mpango wa kumuangamiza kwa njia mbalimbali ikiwepo ajali, staa huyo amesema tetesi hizo ni kweli na amekwishazitolea ripoti polisi.

Msanii huyo amekiri kupitia eNewz kuwa, ni kweli yupo katika tishio la maisha yake, mhusika mkubwa wa hilo akiwa mwanaume ambaye alikuwa na mahusiano yake wa zamani ambaye hawana maelewano mazuri naye.Wastara amesema kuwa, amekuwa na historia ya mahusiano mabovu na mtu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais Buhari atangaza utajiri wake

Rais wa Nigeria ametangaza ana $150,000 kwenye benki, hatua hiyo ya kutangaza utajiri wake ikilenga kuendeleza uwazi serikalini.

 

10 years ago

Habarileo

Makonda atangaza mpango kazi wake

Paul MakondaMKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameweka wazi mpango kazi wake baada ya kukaa ofisini kwa siku tatu tangu kuapishwa kushika wadhifa huo.

 

9 years ago

GPL

GAUNI LA KAJALA LAMTOA JASHO ‘DIZAINA’ WAKE

Gauni la staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja, lilizua minon’gono ukumbini wakati wa Shindano la Kinondoni Talents Search (KTS) lililofanyika katika Ukumbi wa Millennium Tower, Makumbusho jijini Dar baada ya gauni hilo kuambatana na watu wa kulishika. Staa huyo aliingia ukumbini hapo akiambata na kijana mmoja akilishika gauni lake ambapo kila alipokatiza kijana huyo alikuwa na kazi ya kuzunguka naye kuhakikisha nguo hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani