RC KILIMANJARO AWASIFU WAANDAAJI WA BONANZA LA MADESHO DAY
![](http://4.bp.blogspot.com/-jRA7S6PYTiA/VmZkGOMA4wI/AAAAAAAAX70/JwwAbvSHKxE/s72-c/IMG_0013%2B%25281024x683%2529.jpg)
Timu ya Ushrika wakijandaa kuvuta kamba katika bonanza la kumbukumbu ya Mwenyekiti wa kwanza wa klabu ya Moshi veterani Marehemu Madesho Moye.
Kikosi cha wachezaji wa timu ya Kitambi noma.
Wachezaji wa timu ya Moshi eterani wakiongozwa na nahodha wao mpya aliyesajiliwa katika kipindi hiki cha dirisha dogo,Amosi Makala ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakinyoosha kabla ya kuanza mpambano.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI KILIMANJARO WATOANA JASHO KATIKA BONANZA LA BANKERS DAY 2014.
10 years ago
VijimamboKUMEKUCHA 'CHICKEN WINGS BONANZA & FAMILY DAY OUT
![](http://3.bp.blogspot.com/-CPS6g1FkiAY/VPJg-ehnYaI/AAAAAAADbAE/EsxbZjj44oQ/s1600/10672302_10152568168752373_1338991242388284961_n.jpg)
Kumekucha ‘Chicken Wings Bonanza & Family Day Out’ leo Februari 28
Na Andrew ChaleBonanza kubwa la Nyama ya kuku ‘’Chicken Wings’ linaendelea muda huu huku watu mbalimbali wameanza kumiminika marafiki na familia mbalimbali leo Februari 28, ndani ya Azura Beach Club, Kawe, Jijini Dar es Salaam.Akieleza hilo muda huu haapa katika viwanja ghivi linapoendelea Bonanza hili la Chicken Wing, Bonanza & Family oUT', Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jaunt Africa Ltd, Acquiline Mlulla waandaji wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xl-0UoFm_EY/VcYaPkku4WI/AAAAAAAAXUQ/ZcDCDujfsL8/s72-c/aveva.jpg)
BONANZA LA SIMBA DAY LILIVYOFANYA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-xl-0UoFm_EY/VcYaPkku4WI/AAAAAAAAXUQ/ZcDCDujfsL8/s640/aveva.jpg)
10 years ago
Michuzi03 Aug
NHC FAMILY DAY BONANZA LAFANA KUNDUCHI BEACH HOTEL, JIJINI DAR
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/115.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/25.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/35.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UvyRoE0jCtU/VPHHt1j9P_I/AAAAAAAHGi0/viYtnew5ipY/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Kumekucha ‘Chicken Wings Bonanza & Family Day Out’ leo Februari 28
![](http://3.bp.blogspot.com/-UvyRoE0jCtU/VPHHt1j9P_I/AAAAAAAHGi0/viYtnew5ipY/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_01761.jpg)
UMOJA WA MATAIFA YAINYUKA WIZARA YA MAMBO YA NJE BAO 3-0 KWENYE BONANZA LA UN FAMILY DAY
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Kumekucha ‘Chicken Wings Bonanza & Family Day Out’ Kufanyika Feb 28
Na Andrew Chale wa modewji blog
Bonanza kubwa la Nyama ya kuku ‘’Chicken Wings’ litakalokutanisha watu mbalimbali wakiwemo marafiki na familia mbalimbali linatarajia kufanyika Februari 28, ndani ya Azura Beach Club, Kawe, Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na mtandao huu, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jaunt Africa Ltd, Acquiline Mlulla waandaji wa Bonanza hilo la ‘Chicken Wings Bonanza & Family Out’ linalotarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza, Alisema tayari maandalizi yamekamilika...
10 years ago
MichuziMOSHI VETERANI WAMKUMBUKA MUASISI WAO MADESHO MOYE
hicho katika mashindano ya Pasaka ambayo huandaliwa kila mwaka na mamlaka ya bandali ya nchini Kenya.
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Sophia Mwasikili awasifu wenzake