Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kumekucha ‘Chicken Wings Bonanza & Family Day Out’ leo Februari 28

Na Andrew ChaleBonanza kubwa la Nyama ya kuku ‘’Chicken Wings’ linaendelea muda huu huku watu mbalimbali wameanza kumiminika marafiki na familia mbalimbali leo  Februari 28, ndani ya Azura Beach Club, Kawe, Jijini Dar es Salaam.Akieleza hilo muda huu haapa katika viwanja ghivi linapoendelea Bonanza hili la Chicken Wing, Bonanza & Family oUT', Mkurugenzi Mtendaji  wa kampuni ya Jaunt Africa Ltd, Acquiline  Mlulla waandaji wa Bonanza hilo  Amesema watu mbalimbali wameanza kujitokeza tokea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KUMEKUCHA 'CHICKEN WINGS BONANZA & FAMILY DAY OUT


Kumekucha ‘Chicken Wings Bonanza & Family Day Out’ leo Februari 28
Na Andrew ChaleBonanza kubwa la Nyama ya kuku ‘’Chicken Wings’ linaendelea muda huu huku watu mbalimbali wameanza kumiminika marafiki na familia mbalimbali leo  Februari 28, ndani ya Azura Beach Club, Kawe, Jijini Dar es Salaam.Akieleza hilo muda huu haapa katika viwanja ghivi linapoendelea Bonanza hili la Chicken Wing, Bonanza & Family oUT', Mkurugenzi Mtendaji  wa kampuni ya Jaunt Africa Ltd, Acquiline  Mlulla waandaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kumekucha ‘Chicken Wings Bonanza & Family Day Out’ Kufanyika Feb 28

 

whatsapp and facebook post

Na Andrew Chale wa modewji blog

Bonanza kubwa la Nyama ya kuku ‘’Chicken Wings’ litakalokutanisha watu mbalimbali wakiwemo marafiki na familia mbalimbali linatarajia kufanyika  Februari 28, ndani ya Azura Beach Club, Kawe, Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na mtandao huu, Mkurugenzi Mtendaji  wa kampuni ya Jaunt Africa Ltd, Acquiline  Mlulla waandaji wa Bonanza hilo la ‘Chicken Wings Bonanza & Family Out’ linalotarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza, Alisema  tayari maandalizi yamekamilika...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

JAUNT EVENT PLANNERS Brings you Chicken Wings Bonanza, one of its own kind.


Come and eat different tastes of Chicken Wings, Chicken Sausages, Grilled Chicken etc.We will have:-Dj Music | Professional Dancers | Beach Soccer | Kids Zones| Swimming Venue: Azura Beach Club Kawe Mwai Kibaki Rd, Dar es salaamDate: 28th February 2015 Time: 12pm to MidnightFor Sponsorship or advertising your productsCall: +255 755 048 362 or +255 658 289 737  chicken wings.jpg

 

10 years ago

Michuzi

NHC FAMILY DAY BONANZA LAFANA KUNDUCHI BEACH HOTEL, JIJINI DAR

????????????????????????????????????Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano waNHC, Bi Suzan Omari akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa wakisimamia michezo mbalimbali wakati wa tamasha la NHC Family Day lililofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach mwishoni mwa wiki likishirikisha wafanyakazi wa shirika hilo jijini Dar es salaam na familia zao na kufahamiana ikiwani pamoja na kubadilishana mawazo.????????????????????????????????????Wafanyakazi hao wakishindana katika mbio ufukweni.????????????????????????????????????Mmoja wa wafanyakazi wa NHC akiwa...

 

10 years ago

GPL

UMOJA WA MATAIFA YAINYUKA WIZARA YA MAMBO YA NJE BAO 3-0 KWENYE BONANZA LA UN FAMILY DAY

Pichani juu na chini ni baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na watoto wa wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walipojumuika pamoja mwishoni mwa juma kushiriki michezo mbalimbali kwenye UN Family Day kusheherekea maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.…

 

10 years ago

Michuzi

BONANZA LA SIMBA DAY LILIVYOFANYA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 RAIS wa klabu ya soka ya Simba, Evans Aveva, (pichani juu), jana alikuwa kama kocha wa Chelsea, Josse Morinho, kutokana na jinsi alivyokuwa akiwaelekeza wachezaji wa timu ya viongozi wa Simba dhidi ya timu ya soma ya wasanii wa bongo movie na bongo flava kwenye maadhimisho ya siku ya Simba almaarufu kama Simba Day.Aveva abaye alikuwa “kaulamba” yaani kapiga suti yake nyeusi, alikuwa ndio “kocha wa timu hiyo ya viongozi wa Simba.

Akiwa amevalia suti nyeusi, hakuweza kutulia kwenye kiti, kila...

 

10 years ago

GPL

BONANZA LA KAHAMA FAMILY LAFANA JANA

Hivi ndivyo Kahama Family Bonanza lilivyoanza kwa mbio za jogging. Wajumbe wakiwa kwenye maandalizi.…

 

10 years ago

GPL

KAHAMA FAMILY BONANZA 2014 KUHAMASISHA UPIMAJI WA HIARI

Mjumbe  wa KF,Mary Zakaria kulia, Mwenyekiti Sweetbert Nkuba (anayezungumza), na  Katibu,  Daudi Ng’osha wakiwa kwenye kikao. Mwenyekiti wa Kahama Family, Sweetbert akiwa na daudi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani