TANGAZO LA KIFO ROSE RAYMOND SHOGHOLO
![](http://2.bp.blogspot.com/-sqE32gw-r8o/VfJdKuwkPAI/AAAAAAAH38o/4_8hReLkqN4/s72-c/IMG-20150911-WA0000.jpg)
FAMILIA YA CHALLY SHOGHOLO WA SINZA (BABA MDOGO), DAR ES SALAAM WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO NDUGU YAO ROSE RAYMOND SHOGHOLO (PICHANI) KILICHOTOKEA JUZI SEPT 9, 2015 KATIKA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE-KWA PROFFESOR NGOMAMAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA KESHO JUMAMOSI, WILAYA YA SAME KIJIJI CHA KISIWANIFAMILIA INATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA PROFFESOR NGOMA NA WAUGUZI WA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE, KWA MOYO WAO NA UPENDO WALIOTUONYESHA KIPINDI CHA KUMUUGUZA NDUGU YETUHABARI ZIWAFIKIE NDUGU,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi02 Jun
TANGAZO LA KIFO
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/unnamed-181x300.jpg)
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1996 hadi 2002, Onel E. Malisa kilichotokea leo Alfajiri tarehe 2 Juni, 2015 katika Hospitali ya Dar Group, Jijini Dares Salaam.Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Familia ya Marehemu linaendelea kuratibu taratibu zote za kuaga na mazishi ya marehemu. Hivi sasa msiba upo nyumbani kwake Kinyerezi, Jijini Dar es Saalam. Aidha...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FbhzzHgQ_9w/VfmPSs3kpII/AAAAAAAAwuI/bGxBU-ccHAU/s72-c/MKE%2BWA%2BMAMBO%2B%2528IMG-20150916-WA0002%2529.jpg)
TANGAZO LA KIFO CHA MARGARETH MWAISAGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-FbhzzHgQ_9w/VfmPSs3kpII/AAAAAAAAwuI/bGxBU-ccHAU/s640/MKE%2BWA%2BMAMBO%2B%2528IMG-20150916-WA0002%2529.jpg)
Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited, wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Margaret Amon Mwaisaga (pichani) kilichotokea Hospitali ya TMJ 15.09.2015. Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu Mikocheni nyumba namba 87 barabara itokayo Clouds FM kwenda Kanisa la Mchungaji Rwakatare na mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa makaburi ya Kinondoni...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qCLmkHilAaU/VCpjlYgz6yI/AAAAAAAGmrU/yUSDye4tulk/s72-c/New%2BPicture.png)
TANGAZO LA KIFO NA MAZISHI YA DR. HABIBA MUZA RAJABU
![](http://4.bp.blogspot.com/-qCLmkHilAaU/VCpjlYgz6yI/AAAAAAAGmrU/yUSDye4tulk/s1600/New%2BPicture.png)
Familia ya Marehemu Mzee Iddi Rajabu Mtoro wa Utemini, Singida inasikitika kutangaza kifo cha Dr. Habiba Muza Rajabu kilichotokea siku ya Jumamosi tarehe 27 Septemba 2014 hapa katika mji wa Trondheim, Norway.
Msiba uko Utemini, Singida na hapa Trondheim, Norway.
Dr. Habiba Muza Rajabu alishawahi kuwa Mhadhiri (Lecturer) katika Idara ya Chemistry, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Dr. Habiba Muza Rajabu atazikwa hapa katika mji wa Trondheim,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F9hpq0MjsrQ/VQpUd2WBhnI/AAAAAAAHLYA/hFkYVbsZLaM/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KT8-1YUmSgo/VVWjdruVrWI/AAAAAAAHXaQ/HL_H-iNuymQ/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
TANGAZO LA KIFO CHA MAMA NENDIWE JAPHET MBAGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-KT8-1YUmSgo/VVWjdruVrWI/AAAAAAAHXaQ/HL_H-iNuymQ/s640/unnamed%2B(8).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-54VtxAjMpms/U4oEVErNEjI/AAAAAAAFm2E/6AvkPQvoanw/s72-c/231532ea6b897aeab44edb713c4912cb.jpg)
TANGAZO LA KIFO CHA Amina-Zahara Shabani Mtengeti
![](http://3.bp.blogspot.com/-54VtxAjMpms/U4oEVErNEjI/AAAAAAAFm2E/6AvkPQvoanw/s1600/231532ea6b897aeab44edb713c4912cb.jpg)
Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Jumapili baada ya Swalat A'lasir katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Ataswaliwa msikiti wa Maamur, Upanga. Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KGuNeo4G49c/VdxYFQ1IBPI/AAAAAAAHz3s/6hxpIct4sTQ/s72-c/New%2BPicture.png)
TANGAZO LA KIFO TOKA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-KGuNeo4G49c/VdxYFQ1IBPI/AAAAAAAHz3s/6hxpIct4sTQ/s640/New%2BPicture.png)
Bodi ya Ushauri, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wanasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya TAA, Mhandisi Lambert W. Ndiwaita kilichotokea tarehe 20/08/2015 katika Hospitali ya Nairobi, Kenya.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake mjini Bukoba tarehe 25/08/2015.Mhandisi Lambert Ndiwaita (64) alikuwa ni mmoja wa wataalamu waliobobea katika masuala ya usafiri wa anga kitaifa na kimataifa. Katika kipindi cha uhai...
9 years ago
Michuzi01 Sep
TANGAZO LA KIFO CHA MICHAEL JAPHET MBAGA NA JOHN JAPHET MBAGA
Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya alhamisi tarehe 3 Septemba, 2015 saa 10.00 jioni.
Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika siku hiyo hiyo, saa 7.00 mchana nyumbani kwa Mary Rusimbi (Mkurugenzi Mkuu, WOMEN FUND TANZANIA) eneo la Tabata - shule, nyumba za...
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha