Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA KIFO NA MAZISHI YA DR. HABIBA MUZA RAJABU

Marehemu Dr. Habiba Muza Rajabu wakati wa uhai wake.
Familia ya Marehemu Mzee Iddi Rajabu Mtoro wa Utemini, Singida inasikitika kutangaza kifo cha Dr. Habiba Muza Rajabu kilichotokea siku ya Jumamosi tarehe 27 Septemba 2014 hapa katika mji wa Trondheim, Norway.
Msiba uko Utemini, Singida na hapa Trondheim, Norway.
Dr. Habiba Muza Rajabu alishawahi kuwa Mhadhiri (Lecturer) katika Idara ya Chemistry, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Dr. Habiba Muza Rajabu atazikwa hapa katika mji wa Trondheim,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO


unnamed
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1996 hadi 2002, Onel E. Malisa kilichotokea leo Alfajiri tarehe 2 Juni, 2015 katika Hospitali ya Dar Group, Jijini Dares Salaam.Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Familia ya Marehemu linaendelea kuratibu taratibu zote za kuaga na mazishi ya marehemu. Hivi sasa msiba upo nyumbani kwake Kinyerezi, Jijini Dar es Saalam. Aidha...

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO CHA MARGARETH MWAISAGA




Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited, wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Margaret Amon Mwaisaga (pichani) kilichotokea Hospitali ya TMJ  15.09.2015. Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu Mikocheni nyumba namba 87 barabara itokayo Clouds FM kwenda Kanisa la Mchungaji Rwakatare na mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa makaburi ya Kinondoni...

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO ROSE RAYMOND SHOGHOLO

FAMILIA YA CHALLY SHOGHOLO WA SINZA (BABA MDOGO), DAR ES SALAAM WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO NDUGU YAO ROSE RAYMOND SHOGHOLO (PICHANI) KILICHOTOKEA JUZI SEPT 9, 2015 KATIKA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE-KWA PROFFESOR NGOMAMAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA KESHO JUMAMOSI, WILAYA YA SAME KIJIJI CHA KISIWANIFAMILIA INATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA PROFFESOR NGOMA  NA WAUGUZI WA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE, KWA MOYO WAO NA UPENDO WALIOTUONYESHA KIPINDI CHA KUMUUGUZA NDUGU YETUHABARI ZIWAFIKIE NDUGU,...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?

Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta.  Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.  Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni.  Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE  Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO CHA MAMA NENDIWE JAPHET MBAGA

Familia ya marehemu mzee Japhet Mbaga, wa Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha mama yao, NENDIWE MBAGA, kilichotokea hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, siku ya Jumatano mchana, tarehe 13 Mei 2015 kwa ugonjwa wa pneumonia. Mama Nendiwe ni mama mzazi wa MARY RUSIMBI, Hillary Mbaga, Michael Mbaga, Rose Mshana, Stella Mbaga na John Mbaga.Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya Jumapili tarehe 17 Mei 2015 saa 10.00 jioni. Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika...

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO CHA Amina-Zahara Shabani Mtengeti

Hajat Mwantumu Shabani Mtengeti (Mwatumu Malale) wa Mtaa wa Mlingotini Close, Regent Estate, Dar es salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Amina-Zahara Shabani Mtengeti (pichani) kilichotokea leo Mei 31, 2014 katika hospitali ya Kinondoni - kwa Dkt. Mvungi.
Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Jumapili baada ya Swalat A'lasir katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Ataswaliwa msikiti wa Maamur, Upanga. Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba...

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO TOKA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA

  




































Bodi  ya Ushauri, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wanasikitika  kutangaza kifo cha  Mwenyekiti wa Bodi  ya TAA,   Mhandisi Lambert W. Ndiwaita  kilichotokea   tarehe 20/08/2015  katika  Hospitali  ya Nairobi,  Kenya.  
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake mjini Bukoba  tarehe 25/08/2015.Mhandisi  Lambert Ndiwaita (64)  alikuwa ni mmoja wa wataalamu waliobobea katika masuala ya  usafiri wa anga  kitaifa na kimataifa. Katika kipindi cha uhai...

 

10 years ago

CloudsFM

KIFO CHA AISHA MADINDA KINA UTATA,MAZISHI YAAHIRISHWA KUPISHA UCHUNGUZI

Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo,Aisha Madinda yameahirishwa hadi majibu ya uchunguzi yatakapofanyika na kutolewa na hospitali ya taifa ya Muhimbili, ilidaiwa Aisha Madinda aliyefariki jana mchana wakati akikimbizwa hospitalini, na kwa mujibu wa hospitali ya Mwananyamala mpaka anafikishwa hospitali na waliupima mwili na kugundua alikwisha fariki dunia. Clouds FM imezungumza na mtoto wa kwanza wa marehem aitwaye, Feisal Madinda alisema kuwa mazishi...

 

10 years ago

Michuzi

Just in: polisi wachunguza sababu ya kifo cha aisha madinda, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Kigamboni

Jeshi la Polisi leo limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji nguli wa bendi Aisha Mohammed Mbegu (Aisha Madinda) ili kujua mimi kilichosababisha kifo chake. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET) Bi. Asha Baraka amethibitisha hilo na kusema  kwamba mwili ndiyo ulikua unapelekwa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi. “Mjomba wa marehemu amejaribu kuwaomba sana Polisi waache kuuchunguza mwili wa Aisha kwani wamemshukuru Mungu kwa yote lakini wamekataa hivyo hadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani