Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAMUZIKI NA WADAU WA MUZIKI KUKUTANA VIJANA SOCIAL HALL KINONDONI KESHO ALHAMISI ASUBUHI KUJADILI MAZISHI YA AMINA NGALUMA

WANAMUZIKI na wadau wa muziki watakutana Alhamisi hii saa 5 asubuhi kujadili namna ya kusaidia na kushiriki mazishi ya mwimbaji Marehemu Amina Ngaluma (pichani, enzi za uhai wake).

Hilo litafanyika ndani ya ukumbi wa Vijana Social Hall (jirani na Mango Garden), Kinondoni jijini Dar es ambapo itaangaliwa namna nzuri ya kushirikiana na familia ya marehemu kuanzia hatua ya kuupokea mwili hadi mazishi.

Mwili wa Amina Ngaluma aliyefariki nchini Thailand Alhamisi iliyopita, utawasili jijini Dar...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIMANZI MAZISHI YA AMINA NGALUMA

Stori: WAANDISHI WETU Vilio! Majonzi na simanzi vimetawala kwenye mazishi ya aliyekuwa mwimbaji wa dansi Bongo, Amina Ngaluma ‘Japanese’ (41) aliyefariki dunia Mei 15, mwaka huu huko nchini Thailand. Mama mzazi wa Amina Nguluma akilia kwa uchungu usiku wa kupokea mwili wa Marehemu Amina Nguluma kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar. Mwanamuziki huyo wa siku nyingi ambaye alifariki dunia baada...

 

11 years ago

Michuzi

MAZISHI YA MPENDWA WETU NI KESHO JUMAPILI MAKABURI YA KINONDONI

Carol Mbilinyi enzi ya uhai wake
KWA WENZANGU WANA PAZI,  DADA YETU CARO MWAISELAGE MBILINYI ANAZIKWA KESHO TAREHE 9 MARCH 2014  SAATISA MCHANA KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM. KABLA YA HAPO SHUGHULI ZA MISA ZITAFANYIKA KANISA LA KILUTHERIL  UKONGA.
 TUJITAHIDI KUMSINDIKIZA DADA  YETU KWENYE SAFARI YAKE YA MWISHO.
KWA TAARIFA ZAIDI TUNAWEZA KUMPIGIA SIMU KAKA YAKE DR. JULIUS MWAISELAGE KWENYE NO. 255754764412 , MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA...

 

11 years ago

GPL

MSIBA WA AMINA NGALUMA

waombelezaji mbalimbali wakiwasili msibani. waombelezaji (wakinamama) wakiwa katika majonzi.…

 

10 years ago

Michuzi

Kumbukumbu ya Amina Ngaluma J’mosi Dar

 KISOMO cha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam. Akizungumza baba mzazi wa marehemu,  Kassim Ngaluma, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehemu na kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali wa marehemu wakati wa uhai wake wahudhurie. “Tunaomba wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa msiba wa marehemu mwanangu,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Buriani Amina Ngaluma, Adam Kuambiana

WIKI hii imekuwa ni ya majonzi na simanzi kwa wapenzi na mashabiki wa masuala ya burudani, baada ya kuwapoteza nguli wake wake Amina Ngaluma na Adam Kuambiana ambao hatunao tena...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA AMINA NGALUMA WAWASILI DAR

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake. MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ umewasili jijini Dar es Salaam usiku huu. Nyota huyo wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', mpaka mauti yanamfika alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid...

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMINA NGALUMA

Waombelezaji wakitoka msikitini tayari kwa kwenda kwenye maziko. Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.…

 

11 years ago

GPL

MWIMBAJI AMINA NGALUMA AFARIKI DUNIA

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake. MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI...

 

9 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA KESHO ASUBUHI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.
Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)
Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi Sinza.Mjane wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani