HITMA YA MAREHEMU SALIMIN AWADH YAFANYIKA LEO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuikana Viongozi na waislamu katika kisomo cha Hitma ya Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa Mwakilishiwa Jimbo la Magomeni (CCM) iliyosomwa leo jioni katika Msikiti wa Mushawal Mwembeshauri Mjini Unguja hitma hiyo ilihudhuriwa na Waumini na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi.
Baadhiya Waislamu na Viongozi mbali mbali na wananchi wakiwa katika kisomo cha Hitma ya kumuombea Dua Marehemu Salmin Awadh...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
HITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME YASOMWA LEO ZANZIBAR


10 years ago
Dewji Blog07 Apr
Hitma ya Marehemu Mzee Karume yasomwa mapema leo Zanzibar


10 years ago
MichuziVIONGOZI MBALI MBALI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO
11 years ago
Michuzi
HITMA YA MAREHEMU AMINA ZAHRA MTENGETI KUSOMWA KESHO

Asalaam aleykum.
Khitma ya wanawake ikiwa ni Duaa kwa marhem AMINA ZAHRA MTENGETI itasomwa kesho Tarehe 3 JUNE,saa 10 alasiri eneo la REGENT ESTATE. Mlingotini karibu na nyumbani kwa Hajjat Mwatum MALALE.
Wote mnakaribishwa
10 years ago
Michuzi10 Feb
MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR YAFANYIKA LEO


10 years ago
Vijimambo21 Feb
MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH UKIINGIZWA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA KUAGWA
mwili wa marehemu Salimin Awadh ukiwa ndani ya jeneza, ukipelekwa mbele ya wajumbe wa baraza la wawakilishi na viongozi wa serikali kwa ajili ya kuagwa

ukiwa tayari umewekwa katika meza kuu mbele ya ukumbi wa baraza, jeneza likiwa na bendera ya baraza la wawakilishi
viongozi wa serikali na wajumbe wa baraza la wawakilishi wakiwa wamesimama wakitoa heshima zao za mwisho marehemu Salmin Awadh
Sala ya kusalia maiti ikiendelea, pamoja dua na mawaidha yaliokuwa yakisikilizwa kwa makini na viongozi...
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Viongozi wauwaga mwili wa marehemu Salmin Awadh Salmin Baraza la Wawakilishi
Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowassa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh Salmin aliefariki ghafla jana. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kuuwaga mwili wa Marehemu Salimn Awadh.
Mwili wa Marehemu...
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Waziri Bernard Membe ahani msiba wa marehemu Salmin Awadh Salmin mjini Unguja


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akitoa mkono kwa familia ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh...
11 years ago
Vijimambo
MAZIKO YA MAREHEMU IDDI PANDU HASSAN MJINI ZANZIBAR LEO

