Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bakwata names acting mufti after Simba’s demise

Dar es Salaam. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally was yesterday unveiled as an interim Mufti and country’s Chief Sheikh.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa atuma salamu za Rambirambi kwa BAKWATA kufuatia kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Mkapa, amemtumia Kaimu Mufti wa Tanzania, salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba kilichotokea Jumatatu katika hospitali ya TMJ. Katika salamu zake Mhe. Mkapa ameelezea kushtushwa kwake na kifo cha Mufti Simba ambae amemuelea kama kiongozi “aliyekuwa muadilivu,...

 

10 years ago

Faith Synergy

Acting Mufti Advocates for More Inter


Acting Mufti Advocates for More Inter-Faith Synergy
AllAfrica.com
Aacting Mufti, Sheikh Abubakar Bin Zubeir Bin Ali, has advocated for open door policy and that all Muslims as well as non-Muslims should feel free to seek consultation on spiritual matters. Speaking to the 'Sunday News' yesterday, the Acting Mufti said that ...
Mufti's call for interfaith synergy commendableDaily News

all 5

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania  (BAKWATA)) kufuatia kifo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Baraza la Bakwata kumchagua mufti mpya

Baraza kuu la Waislam Tanzania Bakwata leo linafanya mkutano mjini Dodoma kumchagua mufti mkuu mpya nchini humo

 

10 years ago

Vijimambo

BAKWATA YAMCHAGUA SHEKHE ABOUBAKAR ZUBEIR BIN ALLY KUWA MUFTI WA TANZANIA



Shekhe Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zubeir Bin Ally amewataka Watanzania kumwomba Mungu ili awapatie kiongozi bora katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Shekhe Zubeir aliyasema hayo jana kwenye mkutano mkuu wa Bakwata uliompitisha kuwa Mufti wa Tanzania kwa kura za wajumbe wote 310 baada ya mtu aliyeingia naye katika ushindani huo kujitoa.
Katika kinyang’anyiro hicho Shekhe Aboubakar alikuwa na wenzake watatu ambao ni Shekhe Khamis Mtupa, Shekhe Hassan Kiburwa...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUMKARIBISHA RASMI BAKWATA MUFTI MKUU MPYA WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBERI BIN ALLY

 Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally  akiongea na mamia ya Waislamu waliojitokeza kumkaribisha rasmi makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa jioni.  Rais Mstafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha rasmi Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally   makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa...

 

10 years ago

Habarileo

Maelfu wamzika Mufti Simba

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliyezikwa jana mkoani Shinyanga. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete, jana aliwaongoza maelfu ya wakazi wa Shinyanga na mikoa jirani, viongozi wa dini, Serikali na wanasiasa kumzika aliyekuwa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa bin Shaaban Simba ,78, (pichani) aliyeaga dunia juzi jijini Dar es Salaam na kuzikwa jana jioni mjini hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mufti Simba aonya Waislamu

SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba, amewataka waumini wa dini ya Kiislamu kufuata amri na mafundisho sahihi ya dini hiyo ili kujiepusha na maovu. Mufti Simba alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani