Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI IDDI AKAGUA JENGO LA SKULI YA SEKONDARI YA DONGE

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mbunge wa Jimbo la Donge kulia yeke Mh. Sadifa Juma Khamis, Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Kanal Mstaafu Juma Kassim Tindwa kushoto ya Balozi Seif wakilikagua jengo la skuli ya sekondari la Donge ambalo limeanza kutua huduma. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Donge Maalim Khamis Mohamed.Jengo la Ghorofa mbili la Skuli ya Sekondari ya Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja ambalo tayari...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF IDDI AFUNGUA RASMI SKULI YA SECONDARY YA FARAJA ZANZIBAR

Jengo la Skuli ya Secondary ya Faraja lililofunguliwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kushoto akisalimiana na Muwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan katika ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya...

 

9 years ago

Michuzi

Balozi Seif Apiga kura Skuli ya Sekondari ya Kitope

 Mgombea nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Tiketi ya CCM Jimbo la Mahonda ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika foleni ya kusubiri kupiga kura kwenye Kituo chake kiliopo Skuli ya sekondari ya Kitope. Balozi Seif akipiga kura ya Kumchagua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Bunge ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kituo chake hapo Skuli ya Sekondari ya Kitope Karani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akimuweka alama...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA SKULI UNGUJA KASKAZINI .

                           Othman Khamis Ame,Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Maendeleo ya ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Jamii katika kijiji cha Kiwengwa Kiliomo ndani ya Wilaya ya Kaskazini “ B “ yanaendelea vyema katika hatua za mwisho zitakazoiwezesha skuli hiyo kuanza kuchukuwa wanafunzi wa Elimu ya maandalizi kuanzia mwezi Januari Mwaka ujao wa 2016.
Ujenzi wa skuli hiyo uliohusisha pia vyoo na Tangi la Kuhifadhia maji ambavyo vinajengwa kwa kutumia Taaluma ya Chupa za Maji ...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa Hoteli Mpya ya Daraja la Saba ya Grand Hayatt Zaznzibar

Na Othman Khamis Ame, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amefanya ziara fupi ya kukagua ujenzi wa Hoteli Mpya ya Daraja la Saba ya Grand Hayatt  inayojengwa katika eneo lililokuwa Starehe Club ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.  Ujenzi wa Hoteli hilo inayomilikiwa na Kampuni ya Kimataifa ya ASB Holding’s unafanywa na Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi kutoka Jamuhuri ya Watu wa China ya CRJ. Kampuni hiyo ya ASB Holding’s katika ujenzi wake huo imechukuwa hatua za...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa bara bara Koani - Jumbi zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema uamuzi uliochukuliwa na Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar wa kujadiliana na mjenzi wa Bara bara ya Koani hadi Jumbi ndio njia pekee itakayoweza kufanikisha ujenzi wa Bara bara hiyo. Alisema uamuzi wa pande hizo mbili wa kupelekana Mahakamani hautowasaidia Wananchi ambao lengo lao ni kupata huduma za mawasiliano ya bara bara kwa kuendesha harakati zao za kimaisha.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikagua ujenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa Bara bara ya Wete hado Konde,Pemba

Makamau wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akikagua ujenzi wa Bara bara ya Wete hado Konde ambao uko katika hatua ya lami alipokuwa Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku tatu kuagua shughuli mbali mbali za Maendeleo. Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Kamati ya Msikiti wa Ijumaa wa Micheweni Mjini Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuwakumbusha waumini wa dini ya kiislamu kuendelea na ibada zao wakiepuka fitna za kuchanganya na siasa. Picha na Hassan Issa wa - OMPR - ZNZ.
Harakati za...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akagua ujenzi wa Jengo jipya la Abiria wa usafiri wa Anga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka kushoto akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Abiria { Terminal 11 } katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wa Abeid Amani Karume akiwa pamoja na uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dr. Juma Malik Akio na Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar upande wa Serikali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONESHO YA MIAKA 90 SKULI YA SEKONDARI YA BENBELLA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Benbella Kibibi Mohammed Mbarouk alipofika kufungua maonesho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya Sekondari ya Benbella leo katika viwanja vya Skuli hiyo mjini UngujaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika kufungua maonesho ya kutimia miaka yaSkuli ya Sekondari ya Benbella leo katika...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MIAKA 90 YA SKULI YA SEKONDARI BENBELLA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya sekondari ya Benbella leo Skulini hapo(kushoto) ni Dk.Yussuf Nuhu Pandu Mwenyekiti wa Maonesho na (kulia) Rais wa Wanafunzi wa Skuli ya Benbella Awatif Duchi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya sekondari ya Benbella leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani