BALOZI KALLAGHE AKUTANA NA WAFANYABIASHARA, ABERDEEN - SCOTLAND
Mheshimiwa Balozi alifanya ziara ya kikazi wiki iliyopita huko jijini Aberdeen,Scotland kufuatia mwaliko wa Kampuni ya Afro-invest kwa ushirikiano na Scottish Development International (SDI) na Aberdeen & Grampian Chamber of Commerce (AGCOC).
Lengo la ziara hii lilikuwa ni kwanza, kukutanishwa na Ujumbe wa kibiashara unaotarajia kuzitembelea nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa Febrauri. Pili, ni kujionea shughuli za SDI na AGCOC katika uratibu na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBALOZI DORA MSECHU AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SWEDEN
Mhe. Balozi Dora Msechu amewahamasisha Wafanyabiashara wa Sweden kuwekeza Tanzania kwa kuwaeleza fursa za uwekezaji zilizopo na mikakati ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha miundombinu.Sehemu ya Wafanyabiara hao wa nchini Sweden wakiwa kwenye kikao na Balozi wa Tanzania...
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MWAKILISHI WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA LUXEMBOURG
9 years ago
MichuziBalozi Peter A. Kallaghe ahamishiwa brazil
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemuhamisha kituo Balozi Peter A. Kallaghe (pichani) aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil. Uhamisho huo unaanzia tarehe 23 Oktoba, 2015. Imetolewa na:Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dar es Salaam
28 Oktoba, 2015
10 years ago
MichuziBALOZI KALLAGHE ASHIRIKI UZINDUZI WA RIPOTI KUHUSU MALARIA DUNIANI
Katika hafla hiyo, Tanzania ilitajwa kama mfano wa nchi inayoendelea kupata mafanikio barani Afrika katika kupambana na ugonjwa wa Malaria hasa kwa upande wa Zanzibar.
Tanzania ilipongezwa kwa mchango wa kisiasa wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika kuhakikisha agenda...
11 years ago
MichuziBALOZI PETER KALLAGHE ATOA BARAKA ZAKE KWA TIMU YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO.YA AFRICAN NATIONS CUP UK 2014.
10 years ago
Bongo501 Sep
Picha: Ernest Napoleon (Going Bongo) akutana na Forest Whitaker (The Last King of Scotland)
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA SUMATRA, TRA, TABOA, RC-DSM NA WAZIRI WA FEDHA IKULU KWA MAZUNGUMZO, PIA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ECG NA AL KAN KUTOKA MISRI
5 years ago
MichuziBALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA PAKISTAN
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akisalimiana na Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara jijini Dodoma. Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ya kudumisha na kukuza uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizi mbili.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge na Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad...