Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Peter A. Kallaghe ahamishiwa brazil


Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemuhamisha kituo Balozi Peter A. Kallaghe (pichani) aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil. Uhamisho huo unaanzia tarehe 23 Oktoba, 2015.

 Imetolewa na:Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,

Dar es Salaam


28 Oktoba, 2015

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI PETER KALLAGHE ATOA BARAKA ZAKE KWA TIMU YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO.YA AFRICAN NATIONS CUP UK 2014.

Balozi Peter Kallaghe leo amekutana na Uongozi na Team Captains wa timu inayowakilisha Tanzania katika Mashindano ya African Nations Cup UK 2014.  Mashindano hayo yanategemewa kuanza Kesho katika Viwanja vya WESTHAM MEMORIAL GROUNDS. MEMORIAL AVENUE E15 3BD.   WATANZANIA WOTE MNAOISHI UINGEREZA HUSUSAN MAENEO YA LONDON NA VITONGOJI VYAKE MNAOMBWA MJITOKEZE KWA WINGI KUISHANGILIA TIMU YETU. RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE NI KAMA ILIVYOAMBATANISHWA.   Kituo cha Karibu ni WESTHAM STATION iliyoko...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KALLAGHE AKUTANA NA WAFANYABIASHARA, ABERDEEN - SCOTLAND

Mheshimiwa Balozi alifanya ziara ya kikazi wiki iliyopita huko jijini Aberdeen,Scotland kufuatia mwaliko wa Kampuni ya Afro-invest kwa ushirikiano na Scottish Development International (SDI) na Aberdeen & Grampian Chamber of Commerce (AGCOC).
Lengo la ziara hii lilikuwa ni kwanza, kukutanishwa na Ujumbe wa kibiashara unaotarajia kuzitembelea nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa Febrauri. Pili, ni kujionea shughuli za SDI na AGCOC katika uratibu na...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KALLAGHE ASHIRIKI UZINDUZI WA RIPOTI KUHUSU MALARIA DUNIANI

Tarehe 9 Desemba 2014, ripoti ya mwaka ya dunia ya malaria (World Malaria Report 2014) ilizinduliwa rasmi katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi za bunge la Uingereza zilizopo Portcullis House, Westminster jijini London.
Katika hafla hiyo, Tanzania ilitajwa kama mfano wa nchi inayoendelea kupata mafanikio barani Afrika katika kupambana na ugonjwa wa Malaria hasa kwa upande wa Zanzibar.
Tanzania ilipongezwa kwa mchango wa kisiasa wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika kuhakikisha agenda...

 

10 years ago

Vijimambo

JK AMTEUA HAULE BALOZI MPYA KENYA, BATILDA AHAMISHIWA TOKYO JAPAN

Balozi mpya wa Tanzania, Tokyo JAPAN, DK Batilda Salha Buriani.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Peter Odemwingie awarudisha Bosnia kwao

>Bao la Peter Odemwingie limeipa ushindi wa kwanza Nigeria katika Fainali za Kombe la Dunia na kuifungashia virago Bosnia-Hercegovina kutoka katika Kundi F.

 

11 years ago

GPL

MWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA ULIVYOAGWA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo. Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence...

 

11 years ago

Michuzi

MWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA WAAGWA LEO KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.Picha zote na Othman Michuzi. Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu aagana na Balozi wa Brazil

PG4A0932

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Brazil nchini, Fransisco  Carlos Soares Luz ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 29, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A0936

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Brazil nchini, Fransisco  Carlos Soares Luz ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 29, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekutana na Balozi wa Brazili nchini...

 

9 years ago

Mtanzania

Chagonja ahamishiwa Zimamoto

BINa Mwandishi Wetu

AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk. John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya utendaji ndani ya Jeshi la Polisi kwa kumhamisha Kamishina wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja.

Habari za uhakika zilizopatikana mjini Dar es Salaam jana, zinasema Rais Magufuli amemteua Kamishina Chagonja kuwa Kamishina mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

“Rais amefanya mabadiliko madogo ndani ya Jeshi la Polisi, amemhamisha Kamishina Chagonja tangu jana (juzi)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani