Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI WA IRELAND NCHINI AMTEMBELEA KINANA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam(Picha zote na Adam Mzee)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa Ireland akutana na Kinana

01

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake leo februari 9,2015 jijini Dar es Salaam.

02

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na  Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam (Picha na Adam Mzee).

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AMTEMBELEA BALOZI KOMBO WA SHINA LA CCM TANGA

 Balozi wa Shina la CCM namba 1, jijini Tanga, Kombo Mbwana akiwa haamini macho yake alipokuwa akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyemtembelea balozi huo nyumbani kwake ambapo watu waliokuwa kwenye msafara walipata mlo wa mchana juzi. Kinana amehitimisha ziara ya siku 11 mkoani Tanga, ambapo alisafiri zaidi ya Km 3000, kukagua miradi 72 na kuhutubia mikutano 76 katika majimbo yote 11 ya mkoa huo. Kinana akizungumza na wananchama wa CCM nyumbani kwa Balozi Kombo Mbwana jijini...

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI AKUTANA, KUMUAGA BALOZI WA IRELAND NCHINI TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi akimkabidhi zawadi ya picha ya mlima Kilimanjaro Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Paul Sherlock katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Paul Sherlock akimuonesha moja ya picha katika kitabu alichompatia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi kama zawadi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi mpya wa Marekani nchini amtembelea Waziri Muhongo

Na Veronica Simba Balozi mpya wa Marekani hapa nchini Mhe. Mark Childress leo ametembelea Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Waziri mwenye dhamana, Profesa Sospeter Muhongo.
Katika mazungumzo yao, Balozi Childress aliyeambatana na Ujumbe wake ameahidi nchi yake kuimarisha ushirikiano na Tanzania kwa kuwekeza katika miradi mbalimbali ya maendeleo hususan katika sekta ya gesi asilia.
Awali, Profesa Muhongo alimweleza Balozi Childress...

 

11 years ago

GPL

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AMTEMBELEA MH. MOHAMMED DEWJI

CEO wa Kampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji Balozi (kulia) akimsindikiza Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula, akifurahia jambo na Mh. Mohammed Dewji alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa Marekani Nchini amtembelea mwanasheria Mku wa Serikali

1

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Leo Jijini Dar es Salaam.

2

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (mwenye tai nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na balozi   wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress(wa pili kulia) mara baada ya mazungumzo.

3

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akimuaga Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju alipomtembelea...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA NORWAY NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI NAPE OFISI KWAKE

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto akiongea na Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo. 

Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad kulia akiongea na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA IRAN NCHINI AMTEMBELEA MZEE MWINYI NYUMBANI KWAKE

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha ya maalum kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam leo Desemba 14, 2015. Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA UJERUMANI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke alipokuwa akimfafanulia jambo wakati Balozi huyo na Naibu wake walipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ujerumani na Tanzania.  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke wakati Balozi huyo na Naibu wake, John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani