Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI WA SWETZERLAND AMTEMBELEA RAIS WA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Switzerland katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Florence Tinguely Mattli  wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Switzerland katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Florence Tinguely Mattli wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na ikulu.]

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR AMTEMBELEA MWANZILISHI WA CCM ZANZABAR

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muasisi wa Chama cha ASP na muanzilishi wa Chama cha Mapinduzi  Mzee Kombo wakati alipokwenda nyumbani kwake Miembeni kumjulia hali.Muasisi wa Chama cha ASP na muanzilishi wa Chama cha Mapinduzi Mzee Kombo akimpatia maelezo Balozi Seif juu ya maendeleo ya Afya yake iliyopata mtihani wa maradhi hivi karibuni. Picha na –OMPR – ZNZ.

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AMTEMBELEA RAIS MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe  Joseph Magufuli kulia akifurahia jambo na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Joseph Magufuli kulia akizungumza na Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwaajili ya mazungumzo.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

 

11 years ago

Michuzi

Balozi adadi amtembelea balozi mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga

 Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Mhe Adadi Rajabu akiwa na  Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga, Jumeirah, Dubai, leo Mhe Adadi yuko Dubai kwa ziara ya kikazi

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria,  walipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiongozana na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Dk. Sahabi Isa Gada (katikati) kuonana na Rais na  kufanya mazungumzo leo 5/3/2020. Picha na Ikulu, Zanzibar. KWA PICHA ZAIDI >>BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akutana na Balozi Mdogo Mpya wa India Zanzibar

Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif asimamisha ujenzi wa nyumba ya ghorofa mjini Unguja, Zanzibar

Balozi Seif akipokea malalamiko ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakimshutumu Mmiliki wa Kiwanja cha jengo la Ghorofa Bwana Anuari Abdulla anayejenga pamoja na eneo la wazi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani