Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Banana Zorro, Mzungu Kichaa kunogesha Tamasha la ‘The Beat’ leo

Banana ZorroNA MWANDISHI WETU

TAMASHA la ‘The Beat’ lenye lengo la kukutanisha wasanii na wadau mbalimbali wa muziki ndani na nje ya nchi linatarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa Paparazzi Bistro Club – Slipway, jijini Dar es Salaam.

Katika tamasha hilo jipya baadhi ya wasanii watakaolinogesha ni pamoja na mkali wa Bongo Fleva,  Mzungu Kichaa, mkali wa nyimbo za asili, Samweli Hokororo, Ifa Band na mwanamuziki Banana Zorro, ambao watatumia bendi kupiga muziki wa moja kwa moja.

Wasanii wote...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mzungu Kichaa na Rico Single kuwachizisha wazanzibar tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo

DSC_0087

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club – Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0099

Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Doubletree by...

 

11 years ago

GPL

MZUNGU KICHAA NA RICO SINGLE KUWACHIZISHA WAZANZIBAR TAMASHA LA ZIFF 2014 USIKU WA LEO‏

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata. Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye...

 

10 years ago

GPL

MZUNGU KICHAA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Mzungu Kichaa akipozi katika studio za Global TV Online. Mzungu Kichaa akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online.…

 

9 years ago

Bongo5

Music: Banana Zorro – Kaseme Tena

Ba

Mwamuziki mgongwe na mmliki wa Band ya B Band Banana Zorro ametoa wimbo mpya unaitwa “Kaseme Tena”. Producer Tsuki

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Banana Zorro: Bongo Flava imefika penyewe

Banana

Msanii mkongwe na mwanzilishi wa The B-Band, Banana Zorro amefurahishwa na hatua za wasanii wa Tanzania kukimbilia nchi za nje ili kufanya video ambazo zitaleta ushindani katika muziki.

Banana

Mwimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya ‘Kaseme Tena’ hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa, kuna wakati waongozaji wa video wa ndani walikuwa wanatengeneza video zinazofanana hali ambayo ilikuwa haileti ushindani.

“Sasa hivi muziki umeshatanuka, soko limekuwa wazi na nafasi...

 

10 years ago

Bongo5

TID na Banana Zorro (The Expendables) kuja na ngoma ya pamoja

Mwana FA na AY wakiwa pamoja wanajiita ‘Gladiators’ na sasa Banana Zorro na TID Mnyama kwa pamoja wameamua kujiita ‘The Expendables’. Wasanii hao wakongwe wamesema wanatarajia kuachia ngoma yao ya pamoja hivi karibuni. “With my broda last nyt @tidmnyama THE EXPENDABLES vigogo… duet coming.anytime STUNTS AGENTS,” ameandika Banana kwenye picha aliyoweka Instagram akiwa na TID.

 

11 years ago

GPL

CHAZ BABA, CHRISTIAN BELLA, BANANA ZORRO, FAGASON WALAMBA TUZO UPYA

Mke mtarajiwa wa Mkurugenzi wa Kampuni ya First Entertainment  aitwaye Pauline Daniel (kushoto)  akimkabidhi tuzo ya heshima kiongozi wa Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba,’ kwenye hafla fupi iliyofanyika  usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Kwetu  Pazuri Tabata jiji Dar es Salaam. Rais wa Bendi ya Malaika, Christian Bella (kulia)  akipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa mwakilishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani