TID na Banana Zorro (The Expendables) kuja na ngoma ya pamoja
Mwana FA na AY wakiwa pamoja wanajiita ‘Gladiators’ na sasa Banana Zorro na TID Mnyama kwa pamoja wameamua kujiita ‘The Expendables’. Wasanii hao wakongwe wamesema wanatarajia kuachia ngoma yao ya pamoja hivi karibuni. “With my broda last nyt @tidmnyama THE EXPENDABLES vigogo… duet coming.anytime STUNTS AGENTS,” ameandika Banana kwenye picha aliyoweka Instagram akiwa na TID.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo514 Aug
Tid na Q Chillah wamaliza tofauti zao, waahidi kuja na album ya pamoja
9 years ago
Bongo529 Dec
Music: Banana Zorro – Kaseme Tena

Mwamuziki mgongwe na mmliki wa Band ya B Band Banana Zorro ametoa wimbo mpya unaitwa “Kaseme Tena”. Producer Tsuki
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo510 Dec
Banana Zorro: Bongo Flava imefika penyewe

Msanii mkongwe na mwanzilishi wa The B-Band, Banana Zorro amefurahishwa na hatua za wasanii wa Tanzania kukimbilia nchi za nje ili kufanya video ambazo zitaleta ushindani katika muziki.
Mwimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya ‘Kaseme Tena’ hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa, kuna wakati waongozaji wa video wa ndani walikuwa wanatengeneza video zinazofanana hali ambayo ilikuwa haileti ushindani.
“Sasa hivi muziki umeshatanuka, soko limekuwa wazi na nafasi...
9 years ago
Michuzi
9 years ago
Mtanzania11 Dec
Banana Zorro, Mzungu Kichaa kunogesha Tamasha la ‘The Beat’ leo
NA MWANDISHI WETU
TAMASHA la ‘The Beat’ lenye lengo la kukutanisha wasanii na wadau mbalimbali wa muziki ndani na nje ya nchi linatarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa Paparazzi Bistro Club – Slipway, jijini Dar es Salaam.
Katika tamasha hilo jipya baadhi ya wasanii watakaolinogesha ni pamoja na mkali wa Bongo Fleva, Mzungu Kichaa, mkali wa nyimbo za asili, Samweli Hokororo, Ifa Band na mwanamuziki Banana Zorro, ambao watatumia bendi kupiga muziki wa moja kwa moja.
Wasanii wote...
11 years ago
GPL
CHAZ BABA, CHRISTIAN BELLA, BANANA ZORRO, FAGASON WALAMBA TUZO UPYA
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kama ulimiss muziki wa Banana Zorro kwenye ubora wake, anakupa hii mpya..- ‘Kaseme Tena’ (+Audio)
December 29 2015 jina la mkali wa zouk, r&b pamoja na pop Tanzania, Banana Zahir Zorro ameona kabla hatujagusa mwaka 2016 nae arudina kitu masikioni mwetu. Imenifikia hii ngoma inaitwa ‘Kaseme Tena‘, ya kumalizia mwaka 2015 kutoka kwa Banana Zorro jamaa ambaye anamiliki pia B Band. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]
The post Kama ulimiss muziki wa Banana Zorro kwenye ubora wake, anakupa hii mpya..- ‘Kaseme Tena’ (+Audio) appeared first on...
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Q-Chillah,TID wataka kutwangana kisa,ngoma mpya ya Ali Kiba
Mastaa wa Bongo Fleva,Q-Chillah na TID mwishoni mwa wiki hii walitaka kutwangana walipokutana katika Klabu moja usiku.
Kwa mujibu wa Q-Chillah akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown alisema kuwa alikwenda kwenye klabu hiyo kuangalia shoo iliyokuwa ikifanyika kwenye lakini baadaye aliamua kutoka nje kucheza ‘pool table’ ndipo alipomuona TID.