Tid na Q Chillah wamaliza tofauti zao, waahidi kuja na album ya pamoja
Habari njema kwa mashabiki wa muziki Tanzania ni kuwa hatimaye wanamuziki nguli wa Bongo fleva, Aboubakar Shaaban Katwila a.k.a Q-Chillah na Khalid Mohamed a.k.a Tid Mnyama wamemaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda mrefu. Tid na Q Chief walipokuwa kwenye kipindi cha XXL Wasanii hao ambao waliwahi kufanya kazi pamoja katika Top Band ya Tid kabla […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
11 years ago
Bongo Movies29 Jun
Wema na kajala wamaliza tofauti zao.
Habari mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘beef’ lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibu wa taarifa mpya mitandaoni ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza ‘beef’ lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers anayeitwa Imelda Mtema.
Katika tukio hilo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae...
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Bongo Muvi, Taff wamaliza tofauti zao
Simon Mwakifwamba.
HAMIDA HASSAN
BIFU kubwa lililokuwepo kati ya wasanii wa fi lamu wanaounda Bongo Movie na wale wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘Taffff ’ limeyeyuka baada ya viongozi wa pande zote mbili kukutana na kuona kuna ulazima wa kuwa kitu kimoja.
Taarifa za pande hizo mbili kumaliza tofauti zao zilitua kwenye dawati la gazeti hili na kuthibitishwa na Rais wa Taff , Simon Mwakifwamba ambaye alisema wameona aufanyie kazi msemo usemao Umoja ni Nguvu wakiamini wakiwa wamoja wanaweza...
10 years ago
Bongo529 Aug
TID na Banana Zorro (The Expendables) kuja na ngoma ya pamoja
10 years ago
Bongo517 Sep
Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Q-Chillah,TID wataka kutwangana kisa,ngoma mpya ya Ali Kiba
Mastaa wa Bongo Fleva,Q-Chillah na TID mwishoni mwa wiki hii walitaka kutwangana walipokutana katika Klabu moja usiku.
Kwa mujibu wa Q-Chillah akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown alisema kuwa alikwenda kwenye klabu hiyo kuangalia shoo iliyokuwa ikifanyika kwenye lakini baadaye aliamua kutoka nje kucheza ‘pool table’ ndipo alipomuona TID.
10 years ago
Bongo512 Feb
Dully Sykes: Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond, nashangaa wa TID na Q Chillah