Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Q-Chillah,TID wataka kutwangana kisa,ngoma mpya ya Ali Kiba

Mastaa wa Bongo Fleva,Q-Chillah na TID mwishoni mwa wiki hii walitaka kutwangana walipokutana katika Klabu moja usiku.Kwa mujibu wa Q-Chillah akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown alisema kuwa alikwenda kwenye klabu hiyo kuangalia shoo iliyokuwa ikifanyika kwenye lakini baadaye aliamua kutoka nje kucheza ‘pool table’ ndipo alipomuona TID.

‘’Nilimuona jamaa(TID) akiniangalia na baadaye alinifuata akaniambia kuwa anataka kuongea na mimi nikamwambia ile siye sehemu yake atafute muda mwingine...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA AZUA TIMBWILI KISA ALI KIBA

Na Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
BOSS Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’, Risasi Mchanganyiko limesheheni mchapo kamili. Boss Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu...

 

11 years ago

GPL

MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA

Stori: Jamila Said
MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba. Miss Tanga 2011, Zubeida Seif. Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul...

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes: Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond, nashangaa wa TID na Q Chillah

Dully Sykes amedai kushangazwa kusikia watu wazima kama TID na Q Chillah wakilumbana kwa jambo la miaka mingi iliyopita na kwamba mambo kama hayo wanapaswa kuwaachia wadogo zao mathalan Alikiba na Diamond. Dully ameiambia Bongo5 kuwa TID na Q wamemfedhehesha. “Hawa ni watu wazima,” amesema Dully. “Mimi kama kuwazungumzia ninawazungumzia Diamond na Alikiba. Hawa ni […]

 

9 years ago

Bongo5

Tid na Q Chillah wamaliza tofauti zao, waahidi kuja na album ya pamoja

Habari njema kwa mashabiki wa muziki Tanzania ni kuwa hatimaye wanamuziki nguli wa Bongo fleva, Aboubakar Shaaban Katwila a.k.a Q-Chillah na Khalid Mohamed a.k.a Tid Mnyama wamemaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda mrefu. Tid na Q Chief walipokuwa kwenye kipindi cha XXL Wasanii hao ambao waliwahi kufanya kazi pamoja katika Top Band ya Tid kabla […]

 

9 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

ALICHOKISEMA LULU BAADA YA ALI KIBA KUACHIA NYIMBO MPYA

Elizabeth Michael 'Lulu'. Kupitia Account yake ya Instagram msanii wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' amefunguka kuhusiana na Ali Kiba kuachia nyimbo mbili kwa mpigo. Muonekano wa alichokisema Elizabeth Michael 'Lulu' Instagram. Hiki  ndicho alichokisema: "Haya sasa.....maelezo hatimaye…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani