Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA

Stori: Jamila Said
MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba. Miss Tanga 2011, Zubeida Seif. Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA AZUA TIMBWILI KISA ALI KIBA

Na Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
BOSS Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’, Risasi Mchanganyiko limesheheni mchapo kamili. Boss Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu...

 

10 years ago

CloudsFM

Q-Chillah,TID wataka kutwangana kisa,ngoma mpya ya Ali Kiba

Mastaa wa Bongo Fleva,Q-Chillah na TID mwishoni mwa wiki hii walitaka kutwangana walipokutana katika Klabu moja usiku.Kwa mujibu wa Q-Chillah akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown alisema kuwa alikwenda kwenye klabu hiyo kuangalia shoo iliyokuwa ikifanyika kwenye lakini baadaye aliamua kutoka nje kucheza ‘pool table’ ndipo alipomuona TID.

‘’Nilimuona jamaa(TID) akiniangalia na baadaye alinifuata akaniambia kuwa anataka kuongea na mimi nikamwambia ile siye sehemu yake atafute muda mwingine...

 

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !

ALI KIBA NA MBWEMBWE ZAKE SASA
ALI KIBA NA ABDU KIBA WAKIWARUSHA


WAANDAAJI "DMK GLOBAL
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6


KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING

 

10 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE, DOWN TOWN SILVER SPRING, VIP PACKAGE ZINAPATIKANA, FREE PARKING.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani