Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA AZUA TIMBWILI KISA ALI KIBA

Na Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
BOSS Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’, Risasi Mchanganyiko limesheheni mchapo kamili. Boss Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Ubuyu: Wema Azua Timbwili Eti Kisa Ally Kiba!

Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kusababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva , Ally Kiba.

Kwa  mujibu wa gazeti la Risasi Mchanganyiko, tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Triple A, jijini Arusha ambapo Wema alienda kwenye sherehe ya mmoja wa rafiki zake huku yeye akipewa ‘taito’ ya mgeni rasmi.

Chanzo cha gazeti hilo kilidokeza kuwa hivi karibuni, Kiba...

 

11 years ago

GPL

WEMA AZUA TIMBWILI GLOBAL, AJIITA YEYE NI CHIZI KULIKO MACHIZI WOOTE!

Stori: Sifael Paul
HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa ni kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Tukio hilo la kumchoresha staa huyo mwenye vituko kila kukicha, lilijiri Jumatatu iliyopita kwenye ofisi za...

 

11 years ago

GPL

MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA

Stori: Jamila Said
MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba. Miss Tanga 2011, Zubeida Seif. Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul...

 

10 years ago

CloudsFM

Q-Chillah,TID wataka kutwangana kisa,ngoma mpya ya Ali Kiba

Mastaa wa Bongo Fleva,Q-Chillah na TID mwishoni mwa wiki hii walitaka kutwangana walipokutana katika Klabu moja usiku.Kwa mujibu wa Q-Chillah akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown alisema kuwa alikwenda kwenye klabu hiyo kuangalia shoo iliyokuwa ikifanyika kwenye lakini baadaye aliamua kutoka nje kucheza ‘pool table’ ndipo alipomuona TID.

‘’Nilimuona jamaa(TID) akiniangalia na baadaye alinifuata akaniambia kuwa anataka kuongea na mimi nikamwambia ile siye sehemu yake atafute muda mwingine...

 

9 years ago

Mtanzania

Wema ampaisha Ali Kiba

wema2MREMBO ambaye anatikisa hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika maneno ambayo yalionyesha ni diss ya wazi kwa Diamond na kumpaisha Ali Kiba.

Diamond hivi sasa anajiita Simba jina ambalo mastaa wengi wanalimezea mate.

-Walikuwa wanasubiri na mimi nitaje jina langu la mnyama, mimi ni Mnyanma ndiyo na jina langu ni Wema kama balozi wa wanyama alivyosema’ aliandika Wema Wataalamu wa mambo wanasema balozi aliyetajwa hapo ni mkali Ali Kiba kwa...

 

10 years ago

GPL

AISHA BUI AZUA TIMBWILI

Stori: Waandishi Wetu
Pamechimbika! Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui amezua timbwili la kufa mtu katika ofisi za kusambaza filamu za Yuneda zilizopo Mbagala jijini Dar baada ya wasambazi hao kushindwa kumlipa kwa wakati. Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akiwaka kwa mmoja wa wahusika wa ofisi za kusambaza filamu za Yuneda, Mbagala. Mtiti huo ulioshuhudiwa na wanahabari wetu ulijiri wikiendi iliyopita, maeneo hayo ya...

 

10 years ago

GPL

CHUCHU AZUA TIMBWILI BARABARANI

Stori: Imelda Mtema NI mkalia nyonga wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy amezua timbwili la aina yake barabarani baada ya kukimbiza gari la msanii aitwaye Ester Kiama akijua ni gari la ‘bebi’ wake. Baby wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy. Timbwili hilo lilitokea juzikati maeneo ya Kinondoni jijini Dar ambapo msichana huyo alikuwa akiendesha gari hilo aina ya Mark X nyeusi ambalo...

 

11 years ago

GPL

ATAKA KUMUUA BABA YAKE, AZUA TIMBWILI

DUNIA inaelekea kuzama.Katika tukio la kushangaza, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Anord Michael mkazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita alifanya vurugu kubwa nyumbani kwao, akidaiwa kutaka kumuua baba yake mzazi kwa sababu ambazo hazikueleweka sawasawa. Baba mzazi wa Anord Michael aliyedaiwa kutishiwa maisha na kijana wake Huku majirani na watu wengine wakishangazwa na kitendo hicho, Anord...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani