Wema ampaisha Ali Kiba
MREMBO ambaye anatikisa hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika maneno ambayo yalionyesha ni diss ya wazi kwa Diamond na kumpaisha Ali Kiba.
Diamond hivi sasa anajiita Simba jina ambalo mastaa wengi wanalimezea mate.
-Walikuwa wanasubiri na mimi nitaje jina langu la mnyama, mimi ni Mnyanma ndiyo na jina langu ni Wema kama balozi wa wanyama alivyosema’ aliandika Wema Wataalamu wa mambo wanasema balozi aliyetajwa hapo ni mkali Ali Kiba kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WEMA AZUA TIMBWILI KISA ALI KIBA
Na Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
BOSS Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’, Risasi Mchanganyiko limesheheni mchapo kamili. Boss Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu...
10 years ago
Michuzi
ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !



Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi
ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6

10 years ago
GPL
ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII TAREHE 6
KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania