Bongo Muvi, Taff wamaliza tofauti zao
Simon Mwakifwamba.
HAMIDA HASSAN
BIFU kubwa lililokuwepo kati ya wasanii wa fi lamu wanaounda Bongo Movie na wale wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘Taffff ’ limeyeyuka baada ya viongozi wa pande zote mbili kukutana na kuona kuna ulazima wa kuwa kitu kimoja.
Taarifa za pande hizo mbili kumaliza tofauti zao zilitua kwenye dawati la gazeti hili na kuthibitishwa na Rais wa Taff , Simon Mwakifwamba ambaye alisema wameona aufanyie kazi msemo usemao Umoja ni Nguvu wakiamini wakiwa wamoja wanaweza...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTAFF, BONGO MUVI, NANI ALIYEWAROGA?
11 years ago
Bongo Movies29 Jun
Wema na kajala wamaliza tofauti zao.
Habari mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘beef’ lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibu wa taarifa mpya mitandaoni ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza ‘beef’ lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers anayeitwa Imelda Mtema.
Katika tukio hilo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae...
9 years ago
Bongo514 Aug
Tid na Q Chillah wamaliza tofauti zao, waahidi kuja na album ya pamoja
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
11 years ago
GPLMIKE AIKACHA TAFF, AJIUNGA BONGO MOVIE
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqxMr-0sxX9bL0jwABAZzFUcPAQ0V8nUIA84wV5TdbJog1BjXbSxib7NNq0rND*D2K9kuAo1dATKx0iGLAcOjLyi/1...jpg?width=650)
BONGO MUVI KIMENUKA